Mbio ndefu za Epl zinafahamika, ndio kwanza tumeanza mbio hizo bado mechi 37.

Kawaida yao kuanza mbio na nguvu ya soda, mwisho wa mbio wanaishia kwenye mid table position.

Sisi tuendelee kuchochea taratibu moto wetu wa nishati ya uranium baadae ni kuwalipua tuu.
Unaandika hayo huku ukijua fika wewe underdog kwą Gunners
 
Hivi nyie mashabiki wa Arsenal manjua maana ya Arsenal
Imetokana na maneno mawili

  1. Arse
  2. Anal
Arse meaning
Person's Buttocks or Anus, Rectum.
Anal meaning - undisclosed
Au ngoja niseme
Relating to or situated near the anus.

Maana kamili unganisha unapata Matako na hiyo nyingine ni kali zaidi
Ndio maana wako hivyo mimi sikujua
 
After their goal, Brighton did not touch the ball until after Reece blasted Chelsea back into the lead.

There were 19 passes in total in the lead-up to the goal, starting with Werner kicking off. Jorginho played four of them, including the final one (assist) to James. Response.

Baada ya BHA kufunga goal la kusawazisha na kufanya matokeo kuwa 1-1 hawakugusa mpira kabisa mpaka Reece James alipofumua ile Nuclear Bomb na hapo zilitembezwa pass kama 19.

Sent from my TECNO LB6 using JamiiForums mobile app
 
View attachment 1570885

Na ilichukua sekunde 98 hizo pasi
 
Nyie kuna mchezaji wenu nasikia analalamika kuwa alikabwa na watu watatu ...vipi sasa akikutana na wahuni otamendi na fernandinho atasema nini?
 
1600204306283.png
 
Hivi nyie mashabiki wa Arsenal manjua maana ya Arsenal
Imetokana na maneno mawili

  1. Arse
  2. Anal
Arse meaning
Person's Buttocks or Anus, Rectum.
Anal meaning - undisclosed
Au ngoja niseme
Relating to or situated near the anus.

Maana kamili unganisha unapata Matako na hiyo nyingine ni kali zaidi
Ndio maana wako hivyo mimi sikujua
masikini weeeeeeeeeeh ulishasahau kuwa hili jina la cheltako ulijipa mwenyewe na ushahidi upo,ukisema suuuuuuuuuuuuuu naingia maktaba nakuletea sasa hivi,

sema cheltako oyeeeeee,sasa ole wako usiseme sasa hivi nakuletea rundo la ushahidi na hapatakalika hapa,
 
Hata uende kwa mganga wa kienyeji haitabadili maana ya
  • Arse+Anal = Matako kamili
Sijaongeza neno sijapunguza neno
Ufafanuzi zaidi
Arse ni Matako upande wa ndani (Rectum), naongea kwa staha ili nisionekane sina akili
Anal ni matako upande wa nje (Anus)
Arse+Anal = Matako kamili
Arsenal ndio walioanza kutuita Cheltako wakidhani kuwa wote ni matako kama wao
Mwizi huona kila mtu ni mwizi kama yeye
Jino kwa jino
Hawa akina Dully ni kuwageuzia kisomi mpaka waache jukwaa letu
Hawa mbuzi mawe wanasema, wanawaza na kufikiri kama JINA LAO
 
Back
Top Bottom