Timo na mwenzie Tammy km wangetulia kipindi cha kwanza wangefunga magoli....kai havertz atazidi kuwaumbua...shukran za dhati Leo ziende kwa mason mount aisee DG naona Leo amehustle sana hata magoli yote 3 kuna michango yake ...Alonso ..Silva bad day in the office .....Alonso naye hajawahi kuwa fullback mzuri Bali ni wingback cjui lamp hajaliona hilo
Nyie mashabiki wa Chelsea chambuzi zenu sijui huwa mnazitolea wapi.
Tatizo mnapenda kujipa moyo. Ngoja nimwage ukweli wote hapa ambao huenda nyie hamuujui au hamtaki kuusema au hampendi kuusikia.
1. Until now, Kai Harvertz is not convincing! Hashawishi kabisa..
So far nimeona improvement kidogo sana kutoka kwake. Na hiyo inaonekana anapocheza na timu ndogo kama West Brom. Usitegemee kumuona akicheza na timu kama Everton au Wolves akaperform, hapo sijawataja Man City na Liverpool.
Kwanza anacheza kama demu.. Hakai na mpira, hii inaonyesha ni namna gani uwezo wake ulivyokuwa mdogo.
Kwa pesa aliyonunuliwa na nafasi anayocheza ni tofauti kabisa na uwezo wake, ana uwezo mdogo. Yani hawezi hata kupunguza mtu mmoja..
Halafu bado kuna mashabiki maandazi wanamtetea.
Nasema tena, pale kwa Havertz MMEPIGWA!
2. Kuhusu Werner niko tofauti na watu wanaomponda.. Kwa upande nategemea Werner atazoea ligi katika kipindi kifupi kuliko sajili zengine mpya.
3. Huyu Lampard ni chizi sana.. Kulikuwa na haja gani ya kumpa kitambaa cha unahodha T. Silva wakati vice captain Ng'olo Kante yupo?
Mwambieni aache kuiga mambo, ile sio PSG.
Msambaa wa watu hata English hajaijua vizuri halafu game yake ya kwanza umpe unahodha.. Inaingia akilini kweli?
4. Niliwahi kusema Mount ni bora kuliko Kai.. Hilo halibadiliki!
5. Ile sehemu ya kipa mnakazi sana kuitafutia mbadala.
Bado Chelsea ni ile ile pamoja na usajili wote.
Najua wengine itawauma kwa sababu ukweli siku zote unauma!