Waseme
JF-Expert Member
- Dec 21, 2012
- 2,611
- 4,121
Nilisema klopp alichosema kuwa Chelsea wanakurupuka kusajili ndio haya endeleeni kuona klopp anamdomo yule ni genius![]()
Mmerudisha mojaBest wishes the blues
Timo anafungua akaunti ya mabao leo
Umepotea njia ya PM mama 😅😅 umeona tunavyoharibu? Ngoja nije kukuchokoza
Mmerudisha la piliBest wishes the blues
Timo anafungua akaunti ya mabao leo
Yanarudi hapaUmepotea njia ya PM mamaumeona tunavyoharibu? Ngoja nije kukuchokoza
Mkuu nafuatilia live hapaMmerudisha la pili

Wacha kulialia wewe.kuanzia sasa Alonso akipangwa sitapoteza muda wangu kuangalia mpira.
Wengine wanaonekana hawajui kucheza kwa sababu ya kenge mmoja tu

Noo puli na ziyech hajasema wako fineMkuuu lembu hapo tatzo hyo alonso plzzz shida ipo kwa kocha kwan wachezaji wanashida gan??? Ben shida nn? Alisema kwenye press pulisc na zych wako fin azplicueta unamuweka bench kwen KWA HERUFI KUBWA KOCHA PALE HAKUN THEN HAJUI HATA KUPANGA KIKOS MIE CJAWAH ONA KOCHA WA KINGEREZA AKAFANYA VZR ZAID YA FERG BAS
SIKU LAMPARD AKIFUKUZWA UKOCHA CHELSEA NITARUDI TENA HAPA KUWAJOIN WADAU KWA KUCHANGIA/KUJADILI MADA NA COMMENTS N.K.
KILALAHERI THE BLUES MSIMU 2020/2021.
