OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
Kama kwa kikosi kile cha academy tulifanya yote haya basi sasa mbele ya Ngola Kante,Timo,Ziyech na Pulisic kila goti litapigwa..Chelsea msimu uliopita pamoja na forward butu na defense mbovu lakini imefanya vizuri sana.
Sasa wamekuja mafundi wa kutengeneza nafasi, ku-assists, kupiga mashuti golini na kufunga.
- Tumefunga mabao 69 ya tatu (nyuma ya Mancity 102 na Liverpool 85)
- Tumetengeneza nafasi 74 ya tatu (nyuma ya Mancity 108 na Liverpool 88 )
- Tumeshinda mechi 20 ya tatu (nyuma ya Liverpool 32 na Mancity 26 )
- Tumepiga pasi 23,244 ya tatu (nyuma ya Mancity 26,329 na Liverpool 23,872 )
- Tumepiga mashuti golini 625 ya pili nyuma ya Mancity 745
Ndio maana hao arsenyeto na mahawara zao wanaweweseka sana.
Tunaye Timo, Ziyech, Havertz na bado wako akina Pulisic, Mount, Mzee mzima Giroud, Kijana anayekuja kwa kasi Odoi bila kumsahau Tammy Abraham
Katikati wako Kante na Kova bila kumsahau Gilmour na Jo
Nyuma wapo akina Chilwell, Thiago na Zouma/Rudiger
Kweli watatuweza hao??????????
Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app