Aaron Arsenal
JF-Expert Member
- Jul 24, 2014
- 24,498
- 28,723
Tumetest mitambo , wakaingia U23
Mechi muhimu tulishashinda , mbona hukupost?
Tumetest mitambo , wakaingia U23
Haaahaaaa duh Hata sisi tulitest mitambo na kipindi cha pili timu zote waliingiza U23 lkn hatukujitetea hvyo km nyie....... mlisema Brighton walitupa alarm KWA sare ...VP nyie kiminyo hichi ?Tumetest mitambo , wakaingia U23
Mechi muhimu tulishashinda , mbona hukupost?View attachment 1559986
Mna U23 nyie toka lini [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaahaaaa duh Hata sisi tulitest mitambo na kipindi cha pili timu zote waliingiza U23 lkn hatukujitetea hvyo km nyie....... mlisema Brighton walitupa alarm KWA sare ...VP nyie kiminyo hichi ?View attachment 1559988
Sent using Jamii Forums mobile app
hatushindag mechi zisizo a kombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Haaahaaaa duh Hata sisi tulitest mitambo na kipindi cha pili timu zote waliingiza U23 lkn hatukujitetea hvyo km nyie....... mlisema Brighton walitupa alarm KWA sare ...VP nyie kiminyo hichi ?View attachment 1559988
Sent using Jamii Forums mobile app
Ndio hivyo, jenga uwanja kwanza.Masikini huwezi ukampangia tajiri matumizi ya pesa yake.ndo maana mtu ambaye hana hela akikuona mwenye pesa unanunua hata soda atasema unatumia pesa vibaya,eti kisa tu kwasababu yeye hana hata hera yakununulia chunvi.
Kwa hiyo Mtachukua kombe gani nxt season?Kwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..
Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa
Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues
T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..
The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
Aisee Afu ndo unajiita mdau wa mpira.....naona mechi za premier na Europa hazinaga vikombe hizohatushindag mechi zisizo a kombe[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]View attachment 1559997
Sisi wenyewe tulikuwa tunatest mitambo,mechi kubwa tulishinda baku mtu alikula 4,sijui unakumbuka!Tumetest mitambo , wakaingia U23
Mechi muhimu tulishashinda , mbona hukupost?View attachment 1559986
[emoji23][emoji23] na wewe ni kadunchu kabisaKwan hapa unazungumzia UCL?
Bas wewe ni mdogo kwa Nottingham forest unabisha?
Ngoja saivi tuya ignore mkuu.[emoji23][emoji23][emoji23]Baadhi ya mashabiki wa Chelsea mnazingua sana, sasa hao matakataka mnawajibu wa nn.??
Yale matakataka yasikisia hivi yatapata homa ya gaflaKwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..
Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa
Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues
T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..
The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
Sarri kafukuzwa kwa sababu ya taji la ulaya wakati ligi ya serie A kabeba ..heshima ipo kule bwana alaa.. wew endelea na vishilingi vyako vya CS[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Watu wana cement history ,nyie mnaleta ujanja ujanja
Nan atakukumbuka ulimaliza top 4 , watu watakukumbuka kwa kubeba taji lolote
Watu wanafunga safari pande NNE za dunia kwenda kufanya tour kuona history za vilabu na kujione mataji .
Angalia uyu takataka [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there
And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]
Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]