Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Pepe Yani hata kwa giroud hagusi[emoji23][emoji23]
Muulize Alonso alichofanywa

images%20(6).jpg
images%20(5).jpg
 
Arudishwe Championship akajifunze ukocha[emoji1787][emoji1787]
JamiiForums871185623.jpg
 
Chelsea msimu uliopita pamoja na forward butu na defense mbovu lakini imefanya vizuri sana.
  1. Tumefunga mabao 69 ya tatu (nyuma ya Mancity 102 na Liverpool 85)
  2. Tumetengeneza nafasi 74 ya tatu (nyuma ya Mancity 108 na Liverpool 88 )
  3. Tumeshinda mechi 20 ya tatu (nyuma ya Liverpool 32 na Mancity 26 )
  4. Tumepiga pasi 23,244 ya tatu (nyuma ya Mancity 26,329 na Liverpool 23,872 )
  5. Tumepiga mashuti golini 625 ya pili nyuma ya Mancity 745
Sasa wamekuja mafundi wa kutengeneza nafasi, ku-assists, kupiga mashuti golini na kufunga.
Ndio maana hao arsenyeto na mahawara zao wanaweweseka sana.
Tunaye Timo, Ziyech, Havertz na bado wako akina Pulisic, Mount, Mzee mzima Giroud, Kijana anayekuja kwa kasi Odoi bila kumsahau Tammy Abraham
Katikati wako Kante na Kova bila kumsahau Gilmour na Jo
Nyuma wapo akina Chilwell, Thiago na Zouma/Rudiger
Kweli watatuweza hao??????????
 
Uzi huu ni wa Arsenal FC au Chelsea FC?

Mbona umejaa kejeli, matusi na malalamiko tele toka kwa mashabiki wa Arsenal FC hadi sisi mashabiki wa Chelsea FC tunashindwa hata namna ya kuchambua habari za klabu yetu kwa amani?

Nawaomba mashabiki wa Arsena FC mujitambue kama mashabiki wa timu zingine walivyo na staha ikiwa mtakuwa na hoja nzuri kuchambua habari za soka maana hili ni jukwaa huru lakini tusidharauliane hadi tukatukanana sababu tu tuko nyuma ya keyboards.
 
Arsenyeto wote ni sawa na wagonjwa wa ukimwi, hawna matumaini ya kuishi tena ndio maana wanahasira kila kona kila saa
Tuwasamehe bure tu
 
Kijana acha kulalamika , waonye ndugu zako wanaokuja jukwaan kwetu kuleta fujo lasivyo hapatakalika

Usidhani Arsenal ni wajinga au hawajitambui, waonye ndugu zako, waache kuja jukwaan kwetu kuleta kejeri na mipasho ,

Nasema lasivyo hapatakalika

Na hao nduguzo unawajua na wanajulikana kwa majina
 
Wee subiri tu ligi ianze, na vichapo vikienea kila kona watatulia na visingizio juu mara nilibanwa kazini, mara nilikuwa nauguza, mara nilikuwa na project, mara bosi wangu alinibana sana nk
 
Hizi kejeri ,mkiwashiwa moto mnalialia ,endeleeni tutaoneshana makali
IMG_20200904_220404.jpg
 
Wee subiri tu ligi ianze, na vichapo vikienea kila kona watatulia na visingizio juu mara nilibanwa kazini, mara nilikuwa nauguza, mara nilikuwa na project, mara bosi wangu alinibana sana nk
Na mtapigwa kweli tena sana ,Brighton juzi kawapa Alarm

Kuna kikos cha On paper na kuna mpira wa uwanjani vitu tofauti kabisa
IMG_20200905_135702.jpg
 
Kijana acha kulalamika , waonye ndugu zako wanaokuja jukwaan kwetu kuleta fujo lasivyo hapatakalika

Usidhani Arsenal ni wajinga au hawajitambui, waonye ndugu zako, waache kuja jukwaan kwetu kuleta kejeri na mipasho ,

Nasema lasivyo hapatakalika

Na hao nduguzo unawajua na wanajulikana kwa majina
Lini uliniona kwenye uzi wa Asrenal nikihangaika na habari zisizonihusu tena kwa matusi?

Jitambueni bhana maana hizi keyboards zisitutoe akili hadi tukatuanana kumbe wawezakuwa unamtukana hata ndugu/rafiki/jamaa tena mnayeheshimiana sana.

Heshima ni kujiheshimu kwanza na hakuhitaji gharama zozote zaidi ya hekima tu.
 
Jukwàaa hili wahenga linachosha sana limejaaa KEJERI MATUSI NGONO ZA JINSIA MOJA HATA MPIRA HAUCHAMBULIWI YOTE HIII INALETW NA MASHABKI WA TIMU PINZANI ZENYE WIVU HASA ARSENAL NA MAN U PLZ TUACHIENI TIMU YETU KAMA ITAFANYA VZR POWA IKIZINGUA FRESH TU
 
Ndio maana nimesema anza na wanyumban kwako hao ndio wanakuja kuleta fujo na kejeri

Ndio maana unaona na Sisi tuna react ,
 
Jukwàaa hili wahenga linachosha sana limejaaa KEJERI MATUSI NGONO ZA JINSIA MOJA HATA MPIRA HAUCHAMBULIWI YOTE HIII INALETW NA MASHABKI WA TIMU PINZANI ZENYE WIVU HASA ARSENAL NA MAN U PLZ TUACHIENI TIMU YETU KAMA ITAFANYA VZR POWA IKIZINGUA FRESH TU
Ungejua ndugu zako Ndio wanaoleta hizo mambo ,ungewaonya hao kwanza

Na uzuri mnawajua , sasa endeleeni kuwakumbatia

Huyo anayejiita Putin , na huyo Olachuga ,n.k

Unadhan Arsenal fans ni wajinga ?

Mnakuja kwenye Uzi wetu kuleta fujo , Arsenal fans wakireact mnalalamika

Waonyeni ndugu zenu, kama mtaona fujo
 
Wee subiri tu ligi ianze, na vichapo vikienea kila kona watatulia na visingizio juu mara nilibanwa kazini, mara nilikuwa nauguza, mara nilikuwa na project, mara bosi wangu alinibana sana nk
Nani wakumfunga Arsenal, wewe timu yako inaweza!
JamiiForums1560636367.jpg
 
Ungejua ndugu zako Ndio wanaoleta hizo mambo ,ungewaonya hao kwanza

Na uzuri mnawajua , sasa endeleeni kuwakumbatia

Huyo anayejiita Putin , na huyo Olachuga ,n.k

Unadhan Arsenal fans ni wajinga ?

Mnakuja kwenye Uzi wetu kuleta fujo , Arsenal fans wakireact mnalalamika

Waonyeni ndugu zenu, kama mtaona fujo
Kabisa mkuu
 
Jukwàaa hili wahenga linachosha sana limejaaa KEJERI MATUSI NGONO ZA JINSIA MOJA HATA MPIRA HAUCHAMBULIWI YOTE HIII INALETW NA MASHABKI WA TIMU PINZANI ZENYE WIVU HASA ARSENAL NA MAN U PLZ TUACHIENI TIMU YETU KAMA ITAFANYA VZR POWA IKIZINGUA FRESH TU
Wivu wa nini? una kipi cha kuonewa wivu,huwa nashangaa sana ushabiki wa mpira mtu anachukulia personal [emoji1787][emoji1787]
JamiiForums-2097259244.jpg
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom