Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ya mwaka huu juz hapa mwez wa 8 umesahauView attachment 1560383
Bado nakumbuka mkuu.
D7w7Me-WsAEq41I.jpg

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
Ethan ampadu anacheza CB akiwa wales Bora lmpard ambakishe pia kuongeza depth kweny defense
Hello WANABLUES kwanza HONGERA nyingi kwetu kwa kumleta Germany Machine KAI.

Tumetendea haki dirisha hili la Usajili, tumefanya sajili kubwa na za kimkakati. Hongera Lampard, Hongera Marina.

Changamoto bado ipo katika eneo la Kipa na CB (Rudger & Zouma hawa jamaa msimu ujao wakaze makalio wapunguze maboko).

Mungu ibariki Chelsea yajayo yanafurahisha.
 
Kwa nini Chelsea wasimsajili huyu kipa wa AC Milan Gigi Donnarumma na ana mgogoro wa kimkataba na Milana hapo hapo Milan wanataka kupunguza mishahara ya wachezaji. Ana miaka 21 tu na anadaka vizuri tu kuliko KEPA
 
Yeah KEPA tunampeleka kaa mkopo arsenal au hata Spurs uko akapate uzoefu zaidi.

Sent from my SM-A305F using JamiiForums mobile app
 
[emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there

And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]

Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Hakuna timu iliyosajili 100% na wote 100% wakaperform vile walivotarajia..

Ndo sababu kwenye list yako hakuna drogba, essien, ballack, lampard, cech, hasselbaink, kante, hazard ,di matteo na wengine wengi tuu...
 
Mkiwa mnajadiliana hivi inapendeza sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom