Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread


44A9D30E-FCA3-4B01-A9B6-866A608C5D18.JPG
 
Naona wanavyo tetemeka wa kimwona mwona timo,wana tetemeka,wakimwona ziyech,wana tetemeka wakimwona, Kai havertz wanatetemeka wakiiona CHELSEA FC LANDON IS BLUES
Screenshot_20200905-075211.png
Screenshot_20200905-075211.png
 
Wengi wa wanaomponda huyu dogo ni aidha wameanza kumfuatilia msimu huu so hawana idea yoyote juu ya huyu dogo au hawamjui kabisa wamesikia kwenye media so nao wanafuata mkumbo.

Nakumbuka mwaka jana niliwahi kuweka bandiko kwenye page aidha ya Liverpool, Man Utd au Arsenal nikasema timu itakayo msajili huyu dogo itakua imelamba dume parefu kipindi hicho sisi tumepigwa pin usajili so kukawa na tetesi kati ya hizo timu kutoka EPL. Kumbe kusema nilikua najisemea mwenyewe na hatimaue sogo amekuja na ninawahakikishia wote wanaopiga vijembe ni aidha timu zao zilijaribu zikashindwa au wanaona wivu zilishindwa ku compete na Chelsea kwa uyu dogo.

Wazee kama nilivyosema mwaka jana tumelamba dume kwa usajili huu. Tuendelee tu kunywa supu nyama zipo chini.View attachment 1559121
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom