Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..

Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa

Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues

T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..

The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
 
Heshima ipo kwenye medali za ulaya. Ndo maana Pep haeleweki maana Epl hata Pellegrin alishashinda sana.
Watu wana cement history ,nyie mnaleta ujanja ujanja

Nan atakukumbuka ulimaliza top 4 , watu watakukumbuka kwa kubeba taji lolote

Watu wanafunga safari pande NNE za dunia kwenda kufanya tour kuona history za vilabu na kujione mataji .
 
Kwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..

Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa

Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues

T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..

The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
Tatizo ndg yangu corona ndio imewafanya akina Barca na Real Madrid wapoe, japo tungeshindan lakini hao wakishapata chenji watawahadaa wachezaji wetu
Naomba tu timu ifanye vizuri kwenye makombe na hasa UCL na EPL ili tupate pesa zaidi ya kuwaretain wachezaji wazuri kama akina Pulisic, na hao wengine na watakaokuja baadaye
 
Kwa usajili huu naona tumetibu matatizo mengi sana tena kwa muda mrefu..

Namba 9 - werner + werner inamaana tuna uhakika wa miaka zaidi ya 7 mbele kuwa na watu hatari kabisa

Kai , Ziyech, Odoi, Pulisic, Kovacic. Hawa watu wanamda mrefu tuu wakutamba pale the blues

T.Silva el captain naamini atasaidia kuwajenga vizuri zouma pamoja christiansen..

The Blues tuna miaka zaidi ya 10 mbele kua kati ya timu bora duniani
[emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there

And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]

Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
 
Angalau msimu huu hatuanzi tukiwa under dogs kama mwaka jana mara tutashuka daraja, mara tutamaliza midtable mara hatutaweza kumaliza top 6 hiyo top 4 yenyewe hawakutujadili kabisa maana yake walijua hata kuinusa hatutanusa
Ila Lampard kawaumbua wote ndio maana mimi nawashangaa sana wanaosema Lampard sio kocha huku wakikiri alikuwa na timu mbovu
Kwa usajili huu Lampard kaonyesha kuwa anajua anachotaka kuifanya misimu ijayo
 
Unauliza matako cheltako? Subiri Arteta anaanza msimu full mwaka huu, pamoja na kuja katikati kabeba mataji mawili huku lampenalty akitoka na sifuri View attachment 1559320View attachment 1559321
JamiiForums933700889.jpg
 
Chelsea msimu uliopita pamoja na forward butu na defense mbovu lakini imefanya vizuri sana.
  1. Tumefunga mabao 69 ya tatu (nyuma ya Mancity 102 na Liverpool 85)
  2. Tumetengeneza nafasi 74 ya tatu (nyuma ya Mancity 108 na Liverpool 88 )
  3. Tumeshinda mechi 20 ya tatu (nyuma ya Liverpool 32 na Mancity 26 )
  4. Tumepiga pasi 23,244 ya tatu (nyuma ya Mancity 26,329 na Liverpool 23,872 )
  5. Tumepiga mashuti golini 625 ya pili nyuma ya Mancity 745
Sasa wamekuja mafundi wa kutengeneza nafasi, ku-assists, kupiga mashuti golini na kufunga.
Ndio maana hao arsenyeto na mahawara zao wanaweweseka sana.
Tunaye Timo, Ziyech, Havertz na bado wako akina Pulisic, Mount, Mzee mzima Giroud, Kijana anayekuja kwa kasi Odoi bila kumsahau Tammy Abraham
Katikati wako Kante na Kova bila kumsahau Gilmour na Jo
Nyuma wapo akina Chilwell, Thiago na Zouma/Rudiger
Kweli watatuweza hao??????????
Arsenyeto wakisoma hivi wanaanza kuwashwa. Hawajui sa ivi watajitetea kwa lipi
 
Wee subiri tu ligi ianze, na vichapo vikienea kila kona watatulia na visingizio juu mara nilibanwa kazini, mara nilikuwa nauguza, mara nilikuwa na project, mara bosi wangu alinibana sana nk
[emoji23][emoji23][emoji23] kama nawaona kina Aaron na dogo Dulla
 
Ndio maana nimesema anza na wanyumban kwako hao ndio wanakuja kuleta fujo na kejeri

Ndio maana unaona na Sisi tuna react ,
Fujo na kejeli mmeanzisha nyie wenyewe hasa mliposhinda FA leo hii wewe ndio unasema tumeanzisha sisi?

Mla ndizi hakumbuki, muokota maganda ndio jukumu lake. Kombe la FA liliwapa wazimu sana nawaza mngechukua EPL sijui ingekuaje!
JamiiForums1783351978.jpg
 
Ninyi hamzijui taratibu kuwa mnapaswa kutaarifu kwa Moderators wamtoe kabisa kwenye JF?

Sasa mnapata faida gani kujibizana na watu matusi ilihali hii ni sehemu ya burudani?

Tena isitoshe labda ni watu wazima mnaoongoza familia hata wasifu mbalimbali katika jamii.

Tafadhalini sana ndugu zangu nawaomba tuheshimiane ili tufurahie maisha kuliko matusi.
Vitoto hivyo haviwezi kukuelewa. Watakubali leo kesho utashangaa kinakuja kingine kinatuita Chelt... ***** hapo ndio anaanzisha ugomvi
 
Acha kuzunguka wewe, bado hujatoa hoja ya kueleweka!

Kwa mujibu wako wewe si unasema kuwa mimi nina uwezo mdogo wa kutoa hoja? Nakusikiliza wewe sasa hoja yako iko wapi??

Nyie chupi-za-buluu[emoji156] hamna kitu!!
Natoaje hoja kwenye point less? Kuza uwezo wa kufikiri uje tujadili
 
Watu wana cement history ,nyie mnaleta ujanja ujanja

Nan atakukumbuka ulimaliza top 4 , watu watakukumbuka kwa kubeba taji lolote

Watu wanafunga safari pande NNE za dunia kwenda kufanya tour kuona history za vilabu na kujione mataji .
Kama kama wewe mbabe nenda kabebe klabu bingwa na shirikisho. Mickey Mouses hata mimi ninayo na Wigan anayo so ukipata watalii wataishia kuangalia hayo makombe wakiuliza Klabu bingwa wafaulishe wakaangalie kwenye klabu ya Nottingham Forest wakihitaji Shirikisho uwaletee kwa blaza ako Chelsea au Man Utd.
 
[emoji828]Shevchenko flopped there
[emoji828]Robben flopped there[emoji12]
[emoji828]Morata flopped there[emoji847]
[emoji828]Torres flopped there[emoji28]
[emoji828]Falcao flopped there[emoji41]
[emoji828]Debryne flopped there[emoji2]
[emoji828]Salah flopped there[emoji85]
[emoji828]Kepa flopped there

And
[emoji3502]Ziyech will ... there[emoji23]
[emoji3502]Wemer will ... there[emoji1745]
[emoji3502]Sarr will ...there[emoji1787]
[emoji3502]Thiago will ... there[emoji849]
[emoji3502]Chiwell will .... there[emoji2297]

Which club is that[emoji1787][emoji1787][emoji1787]
Torres ana UEFA na EL the so called flop.
 
Kama kama wewe mbabe nenda kabebe klabu bingwa na shirikisho. Mickey Mouses hata mimi ninayo na Wigan anayo so ukipata watalii wataishia kuangalia hayo makombe wakiuliza Klabu bingwa wafaulishe wakaangalie kwenye klabu ya Nottingham Forest wakihitaji Shirikisho uwaletee kwa blaza ako Chelsea au Man Utd.
Klabu bingwa anaongoza Liverpool

Carabao Liverpool

League title Manyua

FA cups Arsenal

Cheltenham mnaongoza nn?[emoji23][emoji23]
 
Klabu bingwa anaongoza Liverpool

Carabao Liverpool

League title Manyua

FA cups Arsenal

Cheltenham mnaongoza nn?[emoji23][emoji23]
Kuongoza siyo shida shiba ipo kwenye kumantain muongozo. Ligi kuu una miaka mingapi mpaka sasa?

Uliiongoza London miaka mingapi ukashindwa kubeba UEFA?
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom