Lukub
JF-Expert Member
- Feb 5, 2012
- 3,796
- 4,297
Nikikumbukuka Chelsea hii ulioimba inashuka daraja ,itakuwa ya kumi na saba ...matokeo yake miaka inapita hiyo ata champions league position arsenal imekuwa ndoto .Ngoja tuache muda useme ,maana unakuwaga mpole na mtulivuHawa kikos chao cha makaratasi kinawapa kiburi
Subiri waone moto kuanzia wiki ijayo