Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kuongoza siyo shida shiba ipo kwenye kumantain muongozo. Ligi kuu una miaka mingapi mpaka sasa?

Uliiongoza London miaka mingapi ukashindwa kubeba UEFA?
Ww umebeba Uefa ngapi?

Pambana Angalau uwafikie timu ya wanawake kwanza

Maana hii ya wanaume tunazid kuongeza sasa hivi ni 46[emoji23][emoji23][emoji23]
images%20(2).jpg
 
Mashabik wa chelsea na arsenal hembu tubehave kama watu wazima na watu wa Sports
Hii sio sehem ya kuleta mambo ambayo hayahusian na soka issue sijui za hovyo hembuu tuache tunazingua

Utani huwa upo ila huu umezidi sana tunaact kama watoto wadogo vile
 
Taja wote walioondoka Arsenal , unaleta story za shaffih dauda

Alexis Sanchez ameshinda nini? Kama wanaoondoka Arsenal wanaenda kushinda mataji?
[emoji99][emoji99][emoji99][emoji3090][emoji3090][emoji3090][emoji2211][emoji2211][emoji2210][emoji2175][emoji2175][emoji860]
 
Uzi huu ni wa Arsenal FC au Chelsea FC?

Mbona umejaa kejeli, matusi na malalamiko tele toka kwa mashabiki wa Arsenal FC hadi sisi mashabiki wa Chelsea FC tunashindwa hata namna ya kuchambua habari za klabu yetu kwa amani?

Nawaomba mashabiki wa Arsena FC mujitambue kama mashabiki wa timu zingine walivyo na staha ikiwa mtakuwa na hoja nzuri kuchambua habari za soka maana hili ni jukwaa huru lakini tusidharauliane hadi tukatukanana sababu tu tuko nyuma ya keyboards.
Toa huu ujinga, angalia kwanza wanachoandika hao chelmatako wenzio, au nendă kule jukwaa la Gunners uone hizo takataka za chektyako zinavyoandika pumba..... Kuchambua mnachambua nini humu, labda pumba
 
Kijana acha kulalamika , waonye ndugu zako wanaokuja jukwaan kwetu kuleta fujo lasivyo hapatakalika

Usidhani Arsenal ni wajinga au hawajitambui, waonye ndugu zako, waache kuja jukwaan kwetu kuleta kejeri na mipasho ,

Nasema lasivyo hapatakalika

Na hao nduguzo unawajua na wanajulikana kwa majina
Alafu ni makolo tu, hawasumbui hata kidogo... [emoji23] [emoji23] [emoji23] Nikiweka kambi hapa wote watalisusą jukwaa hili
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom