Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Welcome

Karibu karibu sana timo werner

Hapa ndio zizini au kiufupi darajani

Ukikaa vibaya hapa unaweza kupotea kama maji yaliyo mwagwa juu ya ardhi kaka[emoji23]

Ngoja nikukumbushe kuhusu streka zote zilizo pita hapa kabula yako

Naam kuna msimu nahisi kama 2005/6 pale Ac milan palikua na kijana mmoja anaitwa andry shevchenko

Alikiwasha balaa hadi balloon doo akabeba

Ndipo José mourinho akamua kuingia mfukoni kumleta darajani

Kumbe bwana matarajio yake haya kua kama alivyo taka kilicho tokea akaja kua Moja kati ya wachezaji Wabovu Ipielo

Tuache. Hilo msimu wa 2010/11 pale Liverpool palikua na kijana mmoja anaitwa Fernando Torres

Alikua ni moto fire Chelsea wakaingia mfukoni kutoa dau LA pound million 50 kumsajili kwa kipindi kile nipesa ndefu

Akatua darajani kwa mbwembwe kilicho fuatia akawa sio toress yule tuliye mzoea

Ghafula akageuka

Walaji Mishahara Ya Bure Pale darajani

Kumbukumbu pekee iliyo baki kwake ni goli lake LA uefa vs Barcelona[emoji23]

Tuache hilo wakaingia tena kwa kijama Fulani kutoka Africa samweli etoo

Huyu naye akaishia kuzozana na mourinho kuhusu umri wake halisi
Ukiacha hatrick vs man united

Hakuna cha maana alichoweza kufanya[emoji23]

Tumuache huyo tuje kwa Alvaro morata au mrata

Huyu ni kituko zaidi[emoji23]

Kwani yeye alikua kama streka aliye katwa miguu kwani asipo funga kichwa ndio basi

Yani utofauti wake na mbwana samatta ni rangi[emoji23]

Tuache hilo wakaja kuingia choo cha kike kwa loc Remy au Remy ongala

Tumuache huyo kuna jamaa wakuitwa Gonzalo higuan
Huyu naye wakajipiga za mbafu[emoji23]

Wakaona kutuliza mioyo ya mashabiki subiri twende arsenal tukajiokotee gari la mkaa giroud[emoji23]

Kubwa kuliko

Kuna huyu MTU bado yupo hapo darajani tambi abulahamu

Wao wanamuita dlogba aliyekonda

Huyu goli zake nyingi ni zamabeki kujigonga

Kwani hana goli LA nje ya box tangu anze soccer[emoji23]

Bila kumsahau batshuayi bora hata Abraham huyu ndio uozo mtupu

Lukazigo. Na homa ya vipindi demba Ba

Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]View attachment 1547191
Lukaku
Di Maria
Depay
Kagawa
Bebe
D. James

Amaa kweli nyani haoni kundule
JamiiForums-1208272813.jpg
 
Hatutaki wazee.

Kisha anakuja Thiago Silva.
Nafasi anayocheza Willian inawachezaji wengine kama 800. Thiago ni beki na pia ni kiongozi ndani ya timu sisi shida yetu ipo nyuma ndio maana tumepewa offer na wakala wake ya kumsajili na siyo tumepeleka offer kuomba kumsajili.

Halafu pia hatujawahi sema hatutaki wazee kama ingekua ivyo Willian asingepewa offer ya mkataba wa miaka miwili. Tulichosema na ninachosema Willian huwa ni mvivu hasa kama kuna mchezaji mwingine mkubwa zaidi yake. Tumekaa naye muda mrefu huwa anakawaida ikifika muda wa kuongeza mkqtaba ndio anajikuta kujiwajibisha ili apate anachotaka.
 
Its that time again where Arsenal becomes the leader of the table

Latest EPL standings[emoji460]

Team P W D L GD Pts

1 Arsenal 0 0 0 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0 0 0 0
3 Brighton 0 0 0 0 0 0
4 Burnley 0 0 0 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0 0 0 0
6 C Palace 0 0 0 0 0 0
7 Everton 0 0 0 0 0 0
8 Fulham 0 0 0 0 0 0
9 Leeds 0 0 0 0 0 0
10 Leicester 0 0 0 0 0 0
11 Liverpool 0 0 0 0 0 0
12 Man City 0 0 0 0 0 0
13 Man Utd 0 0 0 0 0 0
14 Newcastle 0 0 0 0 0 0
15 Sheff Utd 0 0 0 0 0 0
16 Southampton 0 0 0 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0 0 0 0
18 West Brom 0 0 0 0 0 0
19 West Ham 0 0 0 0 0 0
20 Wolves 0 0 0 0 0

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

Halafu December anagombania top 6 [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mkuu pia huyo dogo atatolewa kwa mkopo, jaribu kufuatilia.
Nimemfatilia dogo yuko vizuri sana anaonyesha ni promising player hata kwa miaka ijayo. Kulingana na matatizo yetu kwenye backline itakua ni ujinga kumtoa naye kwa mkopo. So anasubiliwa afike ili ajaze nafasi ya Tomori
 
Nafasi anayocheza Willian inawachezaji wengine kama 800. Thiago ni beki na pia ni kiongozi ndani ya timu sisi shida yetu ipo nyuma ndio maana tumepewa offer na wakala wake ya kumsajili na siyo tumepeleka offer kuomba kumsajili.

Halafu pia hatujawahi sema hatutaki wazee kama ingekua ivyo Willian asingepewa offer ya mkataba wa miaka miwili. Tulichosema na ninachosema Willian huwa ni mvivu hasa kama kuna mchezaji mwingine mkubwa zaidi yake. Tumekaa naye muda mrefu huwa anakawaida ikifika muda wa kuongeza mkqtaba ndio anajikuta kujiwajibisha ili apate anachotaka.
'... ina wachezaji wengine 800..' bodi ya ligi imewaruhusu kuwa na kikosi cha watu wote hao?
 
Wewe unahisi tunaezaruhusiwa? Nimesema 800 nikimaanisha wengi sana
Mimi ninavyojua haiwezekani. Ndiyo nakusikia wewe hapa ndiyo maana nimekuuliza.

Na kuhusu uvivu wa Willian hapo na Giroud inabidi mumteme kama kweli maana tangu Timo aje amekua anajituma isivyo kawaida.

Pia unasema hamjawahi sema hamtaki wazee kwahiyo wenzako wakiwa wanasema hapa hamtaki wazee hua unakua wapi?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom