Rajab_Omar
JF-Expert Member
- May 15, 2016
- 16,480
- 27,185
Nyie Watu, MESSI yupo Sokoni huko hebu ingieni Kazini mukamnase
Nyie Watu, MESSI yupo Sokoni huko hebu ingieni Kazini mukamnase
FUSO Umemsahau PulisicVile vile kibindoni kuna Hakim Ziyech and Timo Werner - ni moto
Usimsahau mnyama messiFUSO Umemsahau Pulisic
Yaani waingereza wanaroho mbaya naye huyu jamaaThe big bossView attachment 1548692
Bado Kai sasaTakataka Chilwell tayari View attachment 1548920
Itakuwa poa sanaKai ni Ijumaa kesho ni Thiago
Messi jmosiKai ni Ijumaa kesho ni Thiago
Duu Messi yumo nae au utani wakuu mbona sielewiMessi jmosi
sio utani ni kweli mkuu ila Messi kashasema anataka MancityDuu Messi yumo nae au utani wakuu mbona sielewi
Lampard kashasema anamtakaSidhani kama tunaweza kumsajili Messi, Mshahara wake 600K per week ni changamoto.
Zaidi sidhani kama Lampard atakubali kufanya kazi na Messi.
Sita tayari bado mojaChelsea deal done Summer Window 2020
- Hakim Ziyech - RW/CAM
- Timo Werner - Striker/LW
- Kai Havertz - CAM/LW
- Ben Chilwell - LB
- Thiago Silva - CB
- Mallaga Sarr - CB
- Xavier Mbuyamba - CB
Hakuna kitu kama hichoMessi jmosi
Mkuu rio alikuwa ana anataniaLampard kashasema anamtaka
Japo ni kweli Chilwell ni mchezaji wa kawaida sana ila ni vyema tuwe na subira kuliko kuanza hukumu mapema, hatuwezi jua pengine akabadilika na kuwa LB mzuri Europe!!!Huyo takataka Chilwell bado ni majeruhi hivyo michezo ya mwanzo ataikosa kama Pulisic.
Kai,silva na sarr hao wote deal zishakamalika ila bado hazijawa confirmed so ukisema sita tayari naona sio sawaSita tayari bado moja
Kai Havertz ndani ya siku moja au mbili
Mbona Kama umepaniki hivi?hii timu haina tofauti na utopolo,mpaka sasa washasajili wachezaji kumi na bado kuna kibabu nasikia kinatoka farmers league kinakuja kufata pesa zake za kustaafu