Tunacho angalia ni mafanikio umri ni namba tu,je tangia ianzishwe 2005 Kama unavyodai wewe mafanikio yake yakoje?Toka muanzishe timu 2005 ?
Tunacho angalia ni mafanikio umri ni namba tu,je tangia ianzishwe 2005 Kama unavyodai wewe mafanikio yake yakoje?Toka muanzishe timu 2005 ?
Giroud ana stats nzuri toka akiwa Arsenal. Sasa ivi wengi wanamuona amewasha moto ni kwa sababu amepewa playing time ya kutosha.Mimi ninavyojua haiwezekani. Ndiyo nakusikia wewe hapa ndiyo maana nimekuuliza.
Na kuhusu uvivu wa Willian hapo na Giroud inabidi mumteme kama kweli maana tangu Timo aje amekua anajituma isivyo kawaida.
Pia unasema hamjawahi sema hamtaki wazee kwahiyo wenzako wakiwa wanasema hapa hamtaki wazee hua unakua wapi?
Southern Highland Pia ana uwezo wakucheza nafasi ya left back na si full back kama ulivyosemaMalang Sarr ni CB nasiyo Full Back
Huyo jamaa yupo vizuri especially kwenye ukabaji.Nasikia dogo baada ya mkataba wake kuisha katika klabu ya Nice aligoma kuongeza mkataba baada ya kusikia Chelsea wanamtaka. Binafsi bado sijamfutialia kuona ubora wake
Kumbe ndo vicheko vya Aaron asernalIts that time again where Arsenal becomes the leader of the table
Latest EPL standings[emoji460]
Team P W D L GD Pts
1 Arsenal 0 0 0 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0 0 0 0
3 Brighton 0 0 0 0 0 0
4 Burnley 0 0 0 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0 0 0 0
6 C Palace 0 0 0 0 0 0
7 Everton 0 0 0 0 0 0
8 Fulham 0 0 0 0 0 0
9 Leeds 0 0 0 0 0 0
10 Leicester 0 0 0 0 0 0
11 Liverpool 0 0 0 0 0 0
12 Man City 0 0 0 0 0 0
13 Man Utd 0 0 0 0 0 0
14 Newcastle 0 0 0 0 0 0
15 Sheff Utd 0 0 0 0 0 0
16 Southampton 0 0 0 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0 0 0 0
18 West Brom 0 0 0 0 0 0
19 West Ham 0 0 0 0 0 0
20 Wolves 0 0 0 0 0
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yaani hata timu B ya Chelsea Arsenal hawawezi kuifunga, Aibu yaoHahaha[emoji23] walitupigia makelele kabla msimu uliosha haujaanza kwamba tutashuka daraja kwa kuwa hatujasali na hazard ameondoka. Tumemaliza top 4
Hawaoni aibu kutupigia kelele wakati huu ambao tunasajili mauaji, tunaenda kumaliza ndani ya TOP 2.
Harvetz
Werner
Pulisic
Kante
Ziyech
Kovacic
Chilwell
Thiago
Rudger
Azipu
Sub;-
Mount
Giroud
Alonso
James
Joginho
Zouma
Christensen
Uwanja wa mazoezi tunawaacha:-
Odoi
RLC
Tammy
Barkely
Left Back na Right Back wote ni Full Back'sSouthern Highland Pia ana uwezo wakucheza nafasi ya left back na si full back kama ulivyosema
Cash Money Forever
Anadeserve.Mnyama Sana huyu mtuChelsea Player of the Season 2019/20:
Mateo Kovacic announced as winner
View attachment 1548185
Hope itakuwa comb matata sanaAnastahili kwa asilimia 200
Harvetz - Kante - Kovacic
Chelsea Player of the Season for 19/20 is Mateo Kovacic. CFC[emoji838][emoji838][emoji838]Mateo ndiye mchezaji wa msimu ChelseaView attachment 1548313
Greenwood amecheza Winger ila pia Striker mpaka akaweza kufunga magoli 18 msimu huu sawasawa na umri wakeNaona hao wote wanacheza nafasi moja....kwa akili yako ilivyokutuma
Sent using Jamii Forums mobile app
Anastahili kwa asilimia 200
Harvetz - Kante - Kovacic
Kovacic anakuwa mzuri zaidi kushoto na Havertz kulia
Proposal nzuri ni hii hapa
Kovacic - Kante - Havertz