Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hapa jamii forum umeshasajili wachezaji wangapi [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tukae humu
IMG_20200825_131544.jpg
IMG_20200818_104030.jpg
 
Unafurahia kizee cha miaka 36?

Ngoja akutane na wahuni wa EPL wenye kasi , hivi anaweza kumkaba Auba au pepe kweli huyo babu?
Kama waliweza kuzima cheche za winga wenye kasi wa Bayern na lewandowski mpk wakashindwa kugusa mpira walau kupiga shuti kwenye penalty box ya psg Mara kibao kipindi cha kwanza kabla ya zile header alizosave kaylar navas na wakaishia kufunga goli 1 tu ....?yaan kina kipepe ndo wasumbue.....?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kama waliweza kuzima cheche za winga wenye kasi wa Bayern na lewandowski mpk wakashindwa kugusa mpira walau kupiga shuti kwenye penalty box ya psg Mara kibao kipindi cha kwanza kabla ya zile header alizosave kaylar navas na wakaishia kufunga goli 1 tu ....?yaan kina kipepe ndo wasumbue.....?

Sent using Jamii Forums mobile app
Wewe kweli shimba ,ni msukuma wa wapi ww
 
Kabla ligi kuanza mara nyingi arsenal huwaga ni bingwa..
Yani Kati ya mashabiki wenye kelle humu ni uyo aron ana bwebwe nyingi sana makelele kibao kabla ya league kuanz ukimsikia utwez kukumbia, yey t ndo shabiki pekee anae chukua epl wakati wa usajil league ikisha ankuambia Emery alikua msaliti [emoji1787][emoji1787]
 
Wewe kweli kiazi , Kai ni world class tayari au ni potential ?

Ngoja aje aflop hapa , umesahau ulipotoa hela kwa Pazia Kepa , na yeye mlisema ni world class ,

Hata bakayoko ,alikuwa world class

Watu wanafanya smart business sio kukurupuka

View attachment 1547117
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji10] mkuu mbona unafoka?

Malang Sarr has been offered to Chelsea, as reported by Téléfoot.
It’s not a done deal - Chelsea are considering him as another ‘free agent’ opportunity after Thiago Silva (done deal).
Sarr would like to join but he has also other bids, the board will decide with Lampard [emoji838] #CFC

[Fabrizio Romano] kitasa kingine kinakuja mpaka muite maji MMA.
Screenshot_20200825-045316_1598321500373.jpg
 
Ng'ombe kama ng'ombe

Zizini kama ziziniView attachment 1547122
Its that time again where Arsenal becomes the leader of the table

Latest EPL standings[emoji460]

Team P W D L GD Pts

1 Arsenal 0 0 0 0 0 0
2 Aston Villa 0 0 0 0 0 0
3 Brighton 0 0 0 0 0 0
4 Burnley 0 0 0 0 0 0
5 Chelsea 0 0 0 0 0 0
6 C Palace 0 0 0 0 0 0
7 Everton 0 0 0 0 0 0
8 Fulham 0 0 0 0 0 0
9 Leeds 0 0 0 0 0 0
10 Leicester 0 0 0 0 0 0
11 Liverpool 0 0 0 0 0 0
12 Man City 0 0 0 0 0 0
13 Man Utd 0 0 0 0 0 0
14 Newcastle 0 0 0 0 0 0
15 Sheff Utd 0 0 0 0 0 0
16 Southampton 0 0 0 0 0 0
17 Tottenham 0 0 0 0 0 0
18 West Brom 0 0 0 0 0 0
19 West Ham 0 0 0 0 0 0
20 Wolves 0 0 0 0 0

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom