Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Wewe kweli kiazi , Kai ni world class tayari au ni potential ?

Ngoja aje aflop hapa , umesahau ulipotoa hela kwa Pazia Kepa , na yeye mlisema ni world class ,

Hata bakayoko ,alikuwa world class

Watu wanafanya smart business sio kukurupuka

View attachment 1547117
Mtabiri tambitambi ungekuw watabir wanaflop wew ungukuw flop of the year kwenye utabiri

Tangu utabiri msimu tutashuka daraja mambo yamekua viceversa
 
kuna utapeli unaenda ku'happen kwa mara nyingne tena pale pale Uingereza,

Ollachuga Oc kaka mbona bdo upo kmya?[emoji848]
au ndo mwenye zamu ya kununua luku mkeka umechanika[emoji16]
FB_IMG_1598299623490.jpg
 
Kila nikimuangaliaga huyu jamaa na nikifikiria huku kwetu Chelsea kuna mtu anajaza choo tu..roho inaniuma jamani
FB_IMG_1598299938427.jpg
 
Mtu pekee angeweza kuwanyima Bayern hii uefa ni mmoja tu duniani nae ni Kepa kama angekua ni kipa wa Bayern.
FB_IMG_1598300215608.jpg
 
Sasa mmevuna nini msimu huu wewe kenge?
Haha so wew unaon utabiri wako umetimia , coz bado tupo epl hatujashuka daraja kutokuchukua kombe hakuna uhusiano na utabiri wako kuwa Chelsea atashuka daraja championship
 
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?

Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Welcome

Karibu karibu sana timo werner

Hapa ndio zizini au kiufupi darajani

Ukikaa vibaya hapa unaweza kupotea kama maji yaliyo mwagwa juu ya ardhi kaka[emoji23]

Ngoja nikukumbushe kuhusu streka zote zilizo pita hapa kabula yako

Naam kuna msimu nahisi kama 2005/6 pale Ac milan palikua na kijana mmoja anaitwa andry shevchenko

Alikiwasha balaa hadi balloon doo akabeba

Ndipo José mourinho akamua kuingia mfukoni kumleta darajani

Kumbe bwana matarajio yake haya kua kama alivyo taka kilicho tokea akaja kua Moja kati ya wachezaji Wabovu Ipielo

Tuache. Hilo msimu wa 2010/11 pale Liverpool palikua na kijana mmoja anaitwa Fernando Torres

Alikua ni moto fire Chelsea wakaingia mfukoni kutoa dau LA pound million 50 kumsajili kwa kipindi kile nipesa ndefu

Akatua darajani kwa mbwembwe kilicho fuatia akawa sio toress yule tuliye mzoea

Ghafula akageuka

Walaji Mishahara Ya Bure Pale darajani

Kumbukumbu pekee iliyo baki kwake ni goli lake LA uefa vs Barcelona[emoji23]

Tuache hilo wakaingia tena kwa kijama Fulani kutoka Africa samweli etoo

Huyu naye akaishia kuzozana na mourinho kuhusu umri wake halisi
Ukiacha hatrick vs man united

Hakuna cha maana alichoweza kufanya[emoji23]

Tumuache huyo tuje kwa Alvaro morata au mrata

Huyu ni kituko zaidi[emoji23]

Kwani yeye alikua kama streka aliye katwa miguu kwani asipo funga kichwa ndio basi

Yani utofauti wake na mbwana samatta ni rangi[emoji23]

Tuache hilo wakaja kuingia choo cha kike kwa loc Remy au Remy ongala

Tumuache huyo kuna jamaa wakuitwa Gonzalo higuan
Huyu naye wakajipiga za mbafu[emoji23]

Wakaona kutuliza mioyo ya mashabiki subiri twende arsenal tukajiokotee gari la mkaa giroud[emoji23]

Kubwa kuliko

Kuna huyu MTU bado yupo hapo darajani tambi abulahamu

Wao wanamuita dlogba aliyekonda

Huyu goli zake nyingi ni zamabeki kujigonga

Kwani hana goli LA nje ya box tangu anze soccer[emoji23]

Bila kumsahau batshuayi bora hata Abraham huyu ndio uozo mtupu

Lukazigo. Na homa ya vipindi demba Ba

Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
IMG_20200802_221050.jpg
 
Naam mazungumzo ya ziyech na barkley

Ziyech.Barkley VP

Barkley.karibu bwana hapa ndio zizini

Ziyech .Asante sana ndugu yangu Embu nipe ripoti za hapa zizini

Barkley.ripoti ni kwamba kipa namba moja ni Kepa Alizabalaga Mkaa Golini beki yake ya kutumaini ni zouma pia usisahau kuna caballero kipa namba mbili

Ziyech .duh[emoji23]

Barkley .kingine ziyech hapa zizini munaweza kuteseka kutafuta goli zouma akaja kujipiga K.O dakika ya tisini

Yani kiufupi zouma yeye kila muda anatembea na kibiriti Kepa Sio Kipa Tumepigwaayeye ni mbeba madumu ya mafuta yani muda wowote wanachoma zizi

Ziyech.mama najuta kuja huku nikikumbuka wachezaji wa afrika kasikazini hapa zizini kama salah walikuwa Wachezaji Wazururaji Ovyo Uwanjani huyu kepa na zuma wanaweza kunifanya nikawa Walaji Mishahara Ya Buree

Barkley.usiogope kua walaji mishahara ya bure mbon odoi ndio kazi yake na bado yupo yupoo[emoji23]

Ziyech.duh kumbe kuna walaji huku nako[emoji23]

Barkley.ndio hivyo kaka

Ziyech.kama mambo ndio hivyo nitajikaza kwa maana kule nilikuwa ligi laini

Barkley.powa ila ukiona mambo hayaendi tumia mbinu za Bruno kupiga penalty[emoji23][emoji23]

Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125]
FB_IMG_1598301624839.jpg
 
Thiago Silva kawadanganya anajua na kudaka nini? Maana nasikia Kepa kajiuzulu akiwaangalia mnavyomuamini wakati yeye mwenyewe anajijua ni chapati kaamua kujiuzulu.

Silva kadanganya anajua kudaka mmemvagaa
 
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?

Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Chelsea ni team ndogo iliyoanzishwa 2005 ,kocha mourinho

Tukae humu
FB_IMG_1598301513843.jpg
 
Christian Falk ni chanzo cha kuaminika kwenye transfer za wachezaji kasema jana asubuhi kuwa Deal Done na baadaye Fabrizio Romano akahakikisha taarifa hizo kuwa ni kweli kwa kusema kilichobaki ni paper work. kisha baadaye Voler anatema cheche alipoulizwa kuhusu hizo taarifa anasema Nonsense!
Kwa kawaida hadi makubaliano yasainiwe ndipo kila upande wakubali kutoa taarifa rasmni kwa media. Ukweli ni kwamba hili deal limeisha kinachosubiriwa sasa ni paper work tu, yaani mikataba iboreshwe ili kuingiza walichokubaliana ukichukulia hili deal ni kubwa, lina addons nyingi na baada ya mkataba kusainiwa labda ndani ya siku 2 au 3 tutasikia habari njema darajani
WELL DONE MARINA AND LAMPARD
1598322938703.png
 
Nani kakuambia ndani ya uwanja hakuitaji wa wazima?? Busara na mtu mkubwa ndani ya uwanja ni kitu muhimu sana sio unajaza vitoto vinakosa mti wa kuwaongoza kanza usitufokee
Hua unakuepo hapa wenzako wakisema hawataki wazee ndiyo maana inawapelekea Arsenal?
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom