Welcome
Karibu karibu sana timo werner
Hapa ndio zizini au kiufupi darajani
Ukikaa vibaya hapa unaweza kupotea kama maji yaliyo mwagwa juu ya ardhi kaka[emoji23]
Ngoja nikukumbushe kuhusu streka zote zilizo pita hapa kabula yako
Naam kuna msimu nahisi kama 2005/6 pale Ac milan palikua na kijana mmoja anaitwa andry shevchenko
Alikiwasha balaa hadi balloon doo akabeba
Ndipo José mourinho akamua kuingia mfukoni kumleta darajani
Kumbe bwana matarajio yake haya kua kama alivyo taka kilicho tokea akaja kua Moja kati ya wachezaji Wabovu Ipielo
Tuache. Hilo msimu wa 2010/11 pale Liverpool palikua na kijana mmoja anaitwa Fernando Torres
Alikua ni moto fire Chelsea wakaingia mfukoni kutoa dau LA pound million 50 kumsajili kwa kipindi kile nipesa ndefu
Akatua darajani kwa mbwembwe kilicho fuatia akawa sio toress yule tuliye mzoea
Ghafula akageuka
Walaji Mishahara Ya Bure Pale darajani
Kumbukumbu pekee iliyo baki kwake ni goli lake LA uefa vs Barcelona[emoji23]
Tuache hilo wakaingia tena kwa kijama Fulani kutoka Africa samweli etoo
Huyu naye akaishia kuzozana na mourinho kuhusu umri wake halisi
Ukiacha hatrick vs man united
Hakuna cha maana alichoweza kufanya[emoji23]
Tumuache huyo tuje kwa Alvaro morata au mrata
Huyu ni kituko zaidi[emoji23]
Kwani yeye alikua kama streka aliye katwa miguu kwani asipo funga kichwa ndio basi
Yani utofauti wake na mbwana samatta ni rangi[emoji23]
Tuache hilo wakaja kuingia choo cha kike kwa loc Remy au Remy ongala
Tumuache huyo kuna jamaa wakuitwa Gonzalo higuan
Huyu naye wakajipiga za mbafu[emoji23]
Wakaona kutuliza mioyo ya mashabiki subiri twende arsenal tukajiokotee gari la mkaa giroud[emoji23]
Kubwa kuliko
Kuna huyu MTU bado yupo hapo darajani tambi abulahamu
Wao wanamuita dlogba aliyekonda
Huyu goli zake nyingi ni zamabeki kujigonga
Kwani hana goli LA nje ya box tangu anze soccer[emoji23]
Bila kumsahau batshuayi bora hata Abraham huyu ndio uozo mtupu
Lukazigo. Na homa ya vipindi demba Ba
Nakwenda zangu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1547191