Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

[emoji38][emoji38] Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini [emoji38][emoji38]. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. [emoji38]
Beki mstafi na sokratis kwann hata lingard asifunge sembuse foward kama hazad na giroud
 
SIlva was instrumental in keeping Robert Lewandowski quiet for long periods and coped well with Bayern Munich's pacey wingers too.
1598283679571.png
 
Havertz to fly for medical
Kai Havertz will fly to London in the coming days for a medical with Chelsea ahead of the completion of his transfer, the Daily Mail suggests.

A deal for the Germany international is poised to go ahead, bringing an end to the saga for the Bayer Leverkusen ace.

Chelsea will pay a club-record fee to land the 21-year-old and an announcement could be made this week.
 
Blues praised for Silva deal
Chelsea have been praised ahead of the 'fantastic' signing of Thiago Silva, who is due to arrive on a free transfer.

The deal has been likened to a transfer from Zlatan Ibrahimovic by Danny Mills, speaking to Football Insider.

“It is like when Zlatan came into Manchester United, that was for now. You cannot always buy players for the future and you cannot always just sign potential. You need players in there that are good now who the younger players can learn off. That is a huge part of it.
“I think he would be fantastic. A wealth of experience, a quality player and he clearly looks after himself. I think he would be a superb addition to Chelsea.”
 
😆😆 Aisee Cech na Emery walikuwa ma agents wa Chelsea wametumwa kutuangamiza. Kipa dakika chache tu kwetu amekuja kufungwa magoli mengi zaidi kuliko career yake nzima. Chelsea wanatangaza kabisa kuwa Cech atarudi kuwa kiongozi Chelsea baada ya Europa Final alafu Emery anamweka golini 😆😆. Huyiu Willian hata akiwa spy angalau ni outfield player hawezi kutufungisha sana tusimshtukie. 😆
Uajent sehemu ya mchezo, mbona nyie mlikubali kikengekenge hivyo na hakutosha mkamchukua Luiz na bado Willian, Kesho tukimuachia JO mtamkimbilia. Mnapenda san makombo na sasa mnavimbiwa
 
Deal la Chilwell inaweza ikafa kwa sababu anaumwa " heel injury ". Anaweza akakosa mechi za mwanzo. Leo ataonana na mshauri wake wa maswala ya fitness ili kupata ukweli kwa sababu hakutakuwa na mkataba wowote utakaosaini mhusika akiwa ni mgonjwa
lembu Huyo mchezaji simkubali kabisa Bora tu alivyoumia kwanini Chelsea isimchukue Alex telles kuliko huyo jamaa
 
Cha muhimu atue kwanza Thiago Silva, awe kiranja wa mabeki, hao wengine watafuata maelekezo.

Kuhusu LB mi nataka aje mchezaji yoyote mbunifu kwenye kukaba na kushambulia, mwenye nguvu na kasi ya kupanda na kushuka, ili konokono Alonso abaki sub
Ben chilwell Hana tofauti sana na Alonso kiufupi Alonso Ni ben chillwel mwenye Kasi.
 
#ThiagoSilva will sign a 2 years contract for Chelseafc, deal done @SkySport @SkySports @SkySportsNews


[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1][emoji23][emoji23]
 
Uajent sehemu ya mchezo, mbona nyie mlikubali kikengekenge hivyo na hakutosha mkamchukua Luiz na bado Willian, Kesho tukimuachia JO mtamkimbilia. Mnapenda san makombo na sasa mnavimbiwa
Thiago Silva Kizee miaka 36

Sio makombo ?kweli Wewe akili zako unazijua mwenyewe
 
BREAKING NEWS: Chelsea FINALLY agree £90m Kai Havertz deal with Bayer Leverkusen to bring the midfielder to London this week as they prepare final paperwork for their new record signing
  • Chelsea have finally agreed a fee with Bayer Leverkusen for Kai Havertz
  • The German is on the verge of joining Chelsea in a deal worth £90m
  • Havertz is set to fly to London this week to conclude the finer details
  • He is expected to put pen to paper on a five-year contract at Stamford Bridge
View attachment 1546762
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?

Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
 
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?

Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Kule wanasajili magarasa hata stats hawaleti kutwa utasikia next week next week nyingi
 
Hizi habari Arsenal na na shoga zao waje hapa wazisome. Waseme toka lini wamfanya sajili za maana kama timu kubwa zinavyotakiwa kufanya. Since wamemnunua Auba ni mchezaji gani mwingine world class wamemnunua?

Hapo ndio tutajua maana ya timu kubwa na ndogo.
Wewe kweli kiazi , Kai ni world class tayari au ni potential ?

Ngoja aje aflop hapa , umesahau ulipotoa hela kwa Pazia Kepa , na yeye mlisema ni world class ,

Hata bakayoko ,alikuwa world class

Watu wanafanya smart business sio kukurupuka

FB_IMG_1597908863828.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom