Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

kuna utapeli unaenda ku'happen kwa mara nyingne tena pale pale Uingereza,

Ollachuga Oc kaka mbona bdo upo kmya?[emoji848]
au ndo mwenye zamu ya kununua luku mkeka umechanika[emoji16]View attachment 1547148
Hakuna mchezaji wa ujerumani aliyewahi ku feli Chelsea wewe..

Nyie endeleeni kupiga lomoni nyingi sisi tunavuta vifaa..

#CFC [emoji170][emoji170][emoji170]
 
Thiago Silva kawadanganya anajua na kudaka nini? Maana nasikia Kepa kajiuzulu akiwaangalia mnavyomuamini wakati yeye mwenyewe anajijua ni chapati kaamua kujiuzulu.

Silva kadanganya anajua kudaka mmemvagaa
Nani anaweza kumuweka benchi T.Silva apo Arse8?
 
Hahaha next week ata saini, next week anafanyiwa vipimo[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] usajili wao mwingi ni wa hapa jamii forum..
Kweli wewe unahitaji maombi

Had sasa sajiri 2 zimekamilika ,bado sajiri 2 tufunge dirisha

Subiri EPL ianze ujipige ban humu
 
Mnaedit sana punguzeni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Chelsea ni team iliyoanzishwa mwaka 2005 kocha wa kwanza akiwa mourinho

IMG_20200825_131544.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom