Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila huwa mnafufuka inapokuja MIcky Mouse Cup ya FA
Sasa wewe kuiita FA cup ni micky mouse utakuwa na matatizo kichwani,hivi tukiondoa FA cup hapo Chelwowo si mtabaki na makombe 7 tu trophy cabinet.[emoji3]
 
Game ya arsenal inabid tuwe vizuri kwenye defenc na kiungo
Auba sio wakupewa chnce ukimuachilia tu tutajikuta tunalia ni heri tuingie kama underdog kuliko kuingia na uhakika wa kushinda ya sije kutokea kama ya 2017 wakati wa conte
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1616]
Screenshot_20200726-161524.jpg
 
DullyJr Fabregas predicts on Saturday game say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's a different animal in this case"

"In terms of trophy Arsenal needs it more and confidence for next year and getting into Europe"

"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at
the moment
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx

Kwa kweli Timu yangu ya Chelsea kwenye suala la kombe huwa naliamini sana hususani anaposaka kombe la kumalizia msimu. Mara chache sana huwa tunatoka kapa yaani bila kunyanyua kwapa.

Lakini mechi ya kesho itakuwa na challenge kubwa ukizingatia Arsenal hawana chochote kwenye ligi wapo top 10, hawapo Uefa champion wala Uropa champion. So watapigana vikali ili atleast wapate kombe la FA.

Lakini pia Chelsea kwenye Makombe ya Final huwa hanaga uzembe wala harembi akishaliona kombe limesimamishwa pale mbele[emoji23][emoji23][emoji23].

Pia ukizingatia kuwa ndilo kombe pekee anawaza kuingia nalo Stamford bridge so itakuwa mechi ya kibabe sana. Kila la kheri Chelsea in FA Cup
 
Na lugha yenu pendwa ya katika miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hiki kitimu kimeanzishwa 2010?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1616]

Mkuu anaposema ndani ya miaka 10 anamanisha club iliyofanikiwa kwa Current success within 10 yrs. kuanzia 2010 up to dates.[emoji23][emoji23]
 
Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]

Mkuu ingekuwa ivo basi ungenifunga home and a way. Lakini unakumbuka ulichokipata. Kuanzia BAkU nikakutungua 4 oklock naamini ulisahau hii, nikakutungua tena Emirate kwako kabisa goli 3 bila kukosea ukaja Stamford Bridge nikakuchakaza within a year[emoji23][emoji23][emoji23]. Au hapo mlikuwa mnacheza 15 uwanjani?
 
Mkuu ingekuwa ivo basi ungenifunga home and a way. Lakini unakumbuka ulichokipata. Kuanzia BAkU nikakutungua 4 oklock naamini ulisahau hii, nikakutungua tena Emirate kwako kabisa goli 3 bila kukosea ukaja Stamford Bridge nikakuchakaza within a year[emoji23][emoji23][emoji23]. Au hapo mlikuwa mnacheza 15 uwanjani?
Hii mechi huwezi fananisha na ile First round kipindi tunakutana Arteta ana wiki mbili hapo Gunners,najiamini hii mechi nakupasua kivyovyote vile.
 
Hii ndio inaitwa linear thinking!
1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.

Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.[emoji2957][emoji2957][emoji2957]


Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
 
Haupo serious umtegemee odoi?Wakati city Wana Sterling man u Watakuwa wana Sancho na Liverpool Wana Salah.Willian amecheza Chelsea kwa kujituma kweli kweli Kuna kipindi karibia team nzima walimsusia Mourinho kwa kucheza chini ya kiwango lakini willing akacheza kwa juhudi na Ni msimu aliyokuwa best player of the team ebu mpe respect yake kwani Kuna wachezaji wangapi tumewahi kuwasajili na tukawapa mikataba mirefu lakini wakashindwa kudeliver iweje yeye kuitaji miaka 3 iwe nongwa? Tena ameperform kwa kiwango Cha juu?
Hata Drogba hawakumpa miaka mitatu
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom