Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Harvertz hana alichomzidi Nicolas Pepe
Mda utaongea hakuna haja ya kubishana kila mtu ataongea kutokana na mapenzi yake

Btw naona kazi yenu ni kuwaonesha wapinzani wachezaji mmeshindwa kutoa 25 kwa ferran torres[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Michael Owen on FA final prediction

"Looking at the game this time around, I believe Chelsea have the better squad and with the Premier League table and recent history both favouring Chelsea as well, I am going for a 2-1 win to the Blues which will hand Frank Lampard his first piece of silverware as a manager," Owen told BetVictor .
 
BREAKING: Bournemouth have accepted a £41m bid from Man City for Nathan Ake.

Tulikua tunaremba mwandiko kwenye daftari la mazishi. Man City wamepata kitasa tayari. Siyo mbaya tumempata agent wetu kwenye timu nyingine(kauli za kishujaa)
 
Haahaaa kauli za kishujaa sio
 
BREAKING: Bournemouth have accepted a £41m bid from Man City for Nathan Ake.

Tulikua tunaremba mwandiko kwenye daftari la mazishi. Man City wamepata kitasa tayari. Siyo mbaya tumempata agent wetu kwenye timu nyingine(kauli za kishujaa)
Sidhani kama chelsea walikuwa wakl serious nae
Maana tungekuwa tunamtaka ilikuwa jambo la kuactivate buy back clause yake ambapo tungempata kwa 25-30M
 
Huyu anaenda kuwa back up ya laporte coz wote ni LCB
 
Sidhani kama chelsea walikuwa wakl serious nae
Maana tungekuwa tunamtaka ilikuwa jambo la kuactivate buy back clause yake ambapo tungempata kwa 25-30M
Niliona mahali Bournemouth walikuwa wanawasubiri Chelsea na buy back clause wkt city wameweka offer...ila Chelsea hawajaresponse so wakamuuza
 
Tuassume pesa ya kumsajili HARVETZ €80M ipo tayari bila kuuza wachezaji.

Mahitaji mengine ya Usajili:-

Kipa - avarage price €40M
LB - avarage price €40M
CB - avarage price £55M

JUMLA = €135M

Mauzo ya wachezaji kulingana na thamani zao sokoni kwa sasa according to www.transfermarket.com:-

Keppa - €32M
Barkely - €21.50M
Ermason - €24M
Batshuayi - €17.50M
Bakayoko - €25.50M
Drinkwater - €4.5M
Moses - €6.8M
Zappacosta - €23M
Bonus ya mauzo ya Hazard - €30M

JUMLA = €184.8M

Sio mbaya pesa ya kusajili itapatikana, ila tuombee Mungu wachezaji wetu wanunulike sokoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Saiv ffp ishajifia city kila kukicha wanasajil kwa lakin kuuza ndio mpka itokee mchezaj agome kusign mkataba mpya

Baada ya man city kushinda rufaa yake saiv sidhan kama vilabu vitajaribu kubalance tegemee spending kubwa kuanzia msim huu na ujao
 
Tuassume pesa ya kumsajili HARVETZ €80M ipo tayari bila kuuza wachezaji.

Mahitaji mengine ya Usajili:-

Kipa - avarage price €40M
LB - avarage price €40M
CB - avarage price £55M

JUMLA = €135M

Mauzo ya wachezaji kulingana na thamani zao sokoni kwa sasa according to www.transfermarket.com:-

Keppa - €32M
Barkely - €21.50M
Ermason - €24M
Batshuayi - €17.50M
Bakayoko - €25.50M
Drinkwater - €4.5M
Moses - €6.8M
Zappacosta - €23M
Bonus ya mauzo ya Hazard - €30M

JUMLA = €184.8M

Sio mbaya pesa ya kusajili itapatikana, ila tuombee Mungu wachezaji wetu wanunulike sokoni [emoji23][emoji23][emoji23]
Unafikiri kuna timu ya kutoa kiasi kilichowekwa hapo ,,, Mhhh! labda mgawe tu au muwapeleke kwenye mikopo
 
Hapana tupo hapo sababu timu kama arsenal na Tot hawakua vizuri, na pia uzembe wa leceister cty ila sio juhudi y baadhi y michezaji ya kingereza kama barkley no no! Wachezaji pekee wa kingereza naemwona talented ni Mount atafika mbali, james na hata odoi. Ila sio barkley.

Usitetee mkuu Pulisic na giroud na hata Alonso,alianza kuwaweka banch bila sabab y msingi mwisho wa siku akaumbuka.
Alonso sio mzuri ila nani mzuri zaid yake, Emarson aliekua anamng'ang'ania 1st eleven ndio alikua mmbovu kuliko!
Achana na barkley ambae kucheza kwake ni kwa kipindi

Kama unakumbuka game ya kwanza ya uefa dhid ya valencia baada ya barkley kungangania penalt na kukosa kipi kilifata kwake

Nawazaungumzia hao madogo wa academy

Unaposema spurs,ars na leic hawakuwa vizuri kwani sisi tulikuwa vizuri??
 
Bora hata fainali tungeingia na liver au city angalau mechi ingekuwa na joto joto.
Wanasaikolojia wa kitaa wanasema "Ukiona umeanza kutosikia maumivu ya mapenzi, ujue ushakuwa malaya"[emoji23][emoji23]

Hivi zile hamsa/mkono/kiganja/5g/[emoji1616] kutoka kwa [emoji239] hazijakuuma mkuu, mpaka unawataka tena[emoji23][emoji23][emoji23][emoji3][emoji3][emoji3]

Hahahahahahaha[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
BREAKING: Bournemouth have accepted a £41m bid from Man City for Nathan Ake.

Tulikua tunaremba mwandiko kwenye daftari la mazishi. Man City wamepata kitasa tayari. Siyo mbaya tumempata agent wetu kwenye timu nyingine(kauli za kishujaa)
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Diego Costa na Pedro na Hazard walikuwa ni wanufaika wakuu wa assists za Fabregas
Ukiangalia hii video utagundua Chelsea inamkosa kiungo mshambuliaji au Wide winga wa kuassists kama alivyokuwa anafanya Fabregas
 
DullyJr Fabregas predicts on Saturday game say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's a different animal in this case"

"In terms of trophy Arsenal needs it more and confidence for next year and getting into Europe"

"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at
the moment
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom