Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

DullyJr Fabregas predicts on Saturday game say that "Chelsea basically every year has won a trophy so it's a different animal in this case"

"In terms of trophy Arsenal needs it more and confidence for next year and getting into Europe"

"Chelsea are in champions league and Arsenal has nothing at
the moment
lembu
Southern Highland
Cash Money Forever
Papaa Gx
Kwahiyo?
Fabregas ni Mungu? au ni mpiga domo kama wapiga domo wengine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1616]
Kama mngekuwa kila mwaka mnachukua kombe basi ndio mngekuwa mnaongoza kwa London[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1616]
 
Alichoongea Fabregas ndio inaonesha utofauti Kati ya team kubwa na midtable team like Arsenal katika miaka 10 Chelsea ndio inaongoza kwa kuchukua makombe mengi kuliko team yoyote pale England na katika hiyo misimu Hakuna msimu hata mmoja waliotoka patupu so jiandae kesho kutunguliwa.
 
Arsenal London tunaleta mazishi kesho hapa,Nyie hamna timu ya kutuzuia vidume wenu.
We've got goals, we've got pace

#Coyg[emoji837]
 
Na lugha yenu pendwa ya katika miaka kumi[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]kwahiyo hiki kitimu kimeanzishwa 2010?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

[emoji1616]
 
Bado katimu kadogo, ndio kanakujakuja taratibu [emoji3][emoji3]
 
Arsenal London tunaleta mazishi kesho hapa,Nyie hamna timu ya kutuzuia vidume wenu.
We've got goals, we've got pace

#Coyg[emoji837]
Asernal mnajifariji tu,lakini ukweli mnaujua wazi kuwa nini kitawapata kesho.in short kesho lazima parapanda lilie.
 
Chelsea hii ya mombasa ht tukicheza 9 ndani Still hamtoki[emoji3]
Nilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
 
Yaani hawa hata tukipanga watu 9 hawana ubavu wa kushinda hiyo game
 
Nilicheka sana siku ile, watu mapema tu tupo pungufu lakini wanahaha, sasa mziki ukiwa kamili si tutavichakaza hivi vitoto[emoji23][emoji23][emoji23]
Kwani msimu huu tulipokutana tulikua tunacheza na Arsenyeto au Arse8.

Kuwa shabiki wa hiyo timu yenu inataka moyo sana.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom