Maoni yangu kwa msimu Huu
1.Giroud amefanya kazi kubwa
Katika game 14 alizoanza msimu Huu ana goals 10 what is performance!.Na amefunga kwenye game muhimu.Naona msimu ujao kutakuwa na competition nzuri Sana kwenye eneo la ushambuliaji
2.Lampard as coacher
Amefanya kazi nzuri Sana kaikuta team imeondokewa na mchezaji wao Bora kabisa Eden Hazard ukiachana na Hilo system nzima ilikuwa inacheza kumzunguka Yeye.Baada ya ujio wa Lampard akaitranform kuwa sio ya kumtegemea mchezaji mmoja ndio maana unaona Kante,Willian injury na still tunapata matokeo mazuri Kuna kipindi unakuta Kovacic injury, jorginho nje,Kante injury kwa pamoja anampa nafasi Gilmour na anadeliver na tunapata matokeo.
Changamoto nyingine aliyokutana nayo Lampard Ni ban signing lakini changamoto zote kaweka kwapani na team imeachieve Arsenal iliyosajili ipo nafasi ya 10.
Simply Giroud anafaa kwenye falsafa ya Lampard ya mwendo kasi. Kwa sarri alishindwa kabisa kufunga na ndio maana Lampard alipokuja alimtenga mwanzoni. Kwa kweli kwa umri ule hata mimi nisingeamini Giroud atafunga kiasi hicho cha magoli 9
Lampard kawatransform wachezaji wengi tofauti na Sarri, timu inacheza game la kuvutia hata tukifungwa lakini kandanda safi
Willian Ni mchezaji mzuri Sana na Ni moja ya mchezaji aliyeperform vizuri msimu Huu Chelsea huwezi ikamuacha tu kirahisi aondoke hiv una uhakika gani Hakim Ziyech atadeliver?
Na ameendana na Lampard. Ukimpata mchezaji anayeendana na kocha huyo sio wa kumuachia kirahisi
Willian alishindwa kuendan na Conte na Sarri, MOU walishibana ila hakuperform vizuri kama wakati huu wa Lampard
Ni msimu pekee ambapo Willian amekuwa kwenye form karibu msimu wote
Willian anaweza kucheza winga wa kulia na wide are winga no. 10
Tukimbakiza Willian tutakuwa na very strong team A and B possibly kama ilivyokuwa Man city
Ningekuwa na sauti Willian ningempa mkataba wa miaka mitatu kama anavyodai
Kwa jinsi alivyocheza mwaka huu akiachiwa tu atachukuliwa na EPL closest opponent na atatuumiza sana
We fikiria kama Willian akichukuliwa na Arsenal au Spurs!
Bora tumsajil halafu tumuuze kama hatuna kazi naye