Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ni mda wa kuanza kuzipotezea hizo comment za mashabiki wa arsenal. Watu wanashindwa kucomment bila kutukana

Tukiacha kutozireply wenyewe wataacha kuchangia

Bora Aaron anaweza akaingia huku endapo wapinzan wake wamefungwa ila hawa wangineo wenyewe wamejaza matusi tu utasema thread zao hawazioni
 
Tatizo lenu munaenda kwenye majukwaa ya wenzenu mnaongea shitttt
 
Angalau sisi tunakuja wakati kuna msiba, nyie hata hakuna msiba mnalowea kwa amjirani hadi mnachokwa hata wakati kuna sherehe mnaleta karaha, kero, makelele hadi tunashindwa kusheherekea ushindi wetu

MNABOA SANA
 
1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.

Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.🤪🤪🤪

Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
 
Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.

Nyumbu inaota
 
Jukwaa lenu dhaifu yaitaji mikikimikiki lichangamke
 
Timu gani hiyo ya kumtoa city au liverpool hapo juu, Chelsea dhaifu mwaka huu mmeitoa kwa taabutena kwa GD, mwakani ikifanyiwa overhaul kweli nyie mtapona, Mkijitahidi sana mwakani ni nafasi ya 4 kwa vile tu wale mafukarana wa London wanaotutia aibu Arsenal hawawezi kusajili world class players na Tottenham nao ni hivyo hivyo basi nyie mtakuwa na bahati ya kubaki nafasi ya 4 wala huu siuo ushabiki ni ukweli mtupu na wewe unajua kuwa Timo werner, Ziyech, Kai akiungana na akina Mount, Pulisic, Kante, Kovacic na watakaosajiliwa huko nyuma itakuwa ni maafa tu
 
Man city and Man u zitakuwa top 2 zote next year. Liverpool asubiri tena 30 years maana safari yake imeishia hapo. Chelsea bado muendelee kujenga kikosi ili miaka minne ijayo muanze kupambania ubingwa
 
Na nyie mnajenga nini maana Manure bado sana, bado timu yenu ni ya kupigania Europa, hapo mlipo ni kwa sababu tu ya LCFC kuwakosa wachezaji wake makini
 
Kama Leceister angegoma kutoka kwenye nafasi za juu tungemtoa Chelsea sisi tukaingia hapo top four.
 
Lini wakati hukuwa na mechi nasi, nafasi yenyewe meibaka dakika za mwisho mikononi mwa LFCF, maoni ya kitoto kabisa
 
HONGERENI SANA WANA BLUES KWA KUMALIZA TOP 4.

Binafsi naweza kusema ilikuwa safari ngumu kwa Lampard katika kazi yake ya ukocha.

Ilikuwa safari ya Lampard kujifunza, kurekebisha makosa/mbinu na kupata uzoefu wa kufundisha timu kubwa kama Chelsea kwenye ligi ngumu (EPL).

Mkataba wa Lampard kama kocha kwa msimu wa kwanza unatamka kwamba Lampard ahakikishe timu isishuke daraja na akimaliza ndani ya top 4 atavuna bonus.

HONGERA SANA LAMPARD.

Natamani sana sana Lampard abebe hili kombe la FA, ili limpe kiu ya kutamani kubeba makombe makubwa zaidi.
Hilo la kombe tayari, Arteta hana defence ya kuizuia Chelsea kuwatoboa, Wachezaji wa Chelsea bado wana hamu na mentality ya kubeba makombe na hususana kupitia kwa Arsenal, njia laini naiona hiyo
 
Atapewa namba hii hii ambayo inashikiliwa na Pedro anayeondoka

1595824837289.png
 
Lini wakati hukuwa na mechi nasi, nafasi yenyewe meibaka dakika za mwisho mikononi mwa LFCF, maoni ya kitoto kabisa
Toka January nilisema sisi tunataka kumtoa Leceister nafasi ya tatu hatukuwa na shida na chelsea maana angemaliza nafasi ya nne tu hata kama tusingemfunga sisi
 
Player ratings Chelsea vs Wolves on 26 July 2020
  1. Mason Mount. 9 (kahusika na magoli yote mawili jana na chanzo cha movement)
  2. Mateo Kovacic. 8 (Kaimudu vyema nafasi ya katikati, kawalinda mabeki vyema mfano ile Jota alipompita Azpi)
  3. Olivier Giroud. 8 kaitumia vyema nafasi ile kwa clinical finishing kwenye goli la pili)
  4. Christian Pulisic. 7 (Japo hakutoa asists lakini ndie mhusika mkuu kwenye kujenga movememnt ya goli la pili)
  5. Cesar Azpilicueta. 7 (Japo alipitwa na Jota kabla ya break ya kwanza lakini alisoma mcheza na kuzuia mashambulizi mengi, Ni mchezaji pekee mwenye touches uwanjani jana)
  6. Antonio Rudiger. 7 (Alihusika na kuokoa mipira mingi ya juu zaidi ya Zouma na Azpi japokuwa hakuwa na msimu mzuri, pia Wolves hawakuonyesha upinzani mkubwa walipokutana na Chelsea tofauti na timu zingine)
  7. Kurt Zouma. 7 (Amekuwa solid, fast na kuweza kuokoa hatari zilizosababishwa na mashambulizi ya Wolves mwanzoni hasa changamoto ya nguvu ya Raul )
  8. Reece James. 7 (kacheza vizuri, kafanyika kiungo kizuri kati ya Azpi na Mount jana)
  9. Marcos Alonso. 6 (Wolves walimlenga kwa pasi nyingi ndefu lakini alizimudu zote na pia kutoa mipira mingi mbele)
  10. Jorginho. 6 (Kacheza vizuri na pia kuwa na touches nyingi nyuma ya Azpilicueta)
  11. Willy Cabalerro. 6 (kacheza vizuri naye, kaokoa mpira mrefu wa Neto na hakupata kashkashi nyingi kwa sababu mabeki walimlinda vizuri)
Substitutes

Callum Hudson-Odoi
(for Pulisic 78). 5 (alipata fursa chache sana)
Tammy Abraham (for Giroud 78min). 5 (kasababisha kona moja mkwaju wake uliokolewa angefanya vizuri zaidi kwa kumpasia Pedro au Barkley ambao walikuwa kwenye nafasi nzuri zaidi)

Note
9 = Excellent!
8 = Very Good
7 = Good
6 = Average
5 = Poor
4 = Very poor
3 = Extreme poor
 
Toka January nilisema sisi tunataka kumtoa Leceister nafasi ya tatu hatukuwa na shida na chelsea maana angemaliza nafasi ya nne tu hata kama tusingemfunga sisi
Wewe unacheza namba ipi pale Manure maana unaongea kama mchezaji
 
UONGOZI wa club utafakari sana na kutathimini uhitaji wa michango ya hawa wachezaji kwa msimu ujao :-

1. Joginho
2. Abraham
3. Barkely
4. Keppa
5. Alonso
6. Ermason
7. Batshuayi
  • Uwepo wa Billy Gilmour, kovacic na Kante, Jorginho hatakuwa na nafasi
  • Abraham bado anahitajika
  • Uwepo wa Mount, RLC, Havertz, Ziyech Barkley uhitaji wake ni 50/50
  • Keppa aondoke tu maana hata sub hafai, amekuwa na muda mwingi wa kujirekebisha imekuwa sikio la kufa
  • Alonso anavuta mno mpira kwa sababu hatutaweza kusajili LB wengi kwa mkupuo abaki awe Sub
  • Emerson aondoke tu hayuko clinical, bora hata Alonso akiwa mbele kama Wing-back anatumainiwa
  • Batshuayi asepe tu
 
1. Msimu 2019 Man U ilikuwa top 6
2. Msimu huu ilikuwa top 3
3. Msimu wa 2020/2021 Man U itakuwa top 2 (Nafikiri itakuwa ikipambana na Mancity huku ikifuatia Chelsea,Liverpool, Arsenal na Tottenham)
4. Msimu wa 2021/2022 Ma U itafuta Ukame wa miaka 8 bila ubigwa hivyo kutwaa taji laEPL.
5.Kuanzia msimu wa 2022 hadi 2042,,,,,,, (Utawala wa King Man U of Epl utarudi yaani Ferguson alivyoiacha Man u 2013 , basi Ile Domination Legacy itaendelezwa na hali itarudi kama zamani. Yaani from 1992 to 2013 Man u ilbeba 13 EPL for 20 years.
6. Hivyo Man u itaendeleza utawala kuanzia 2022 hadi 2043 with 13 titles for 20 years kama Ferguson alivyofanya.

Sasa ukitoa hiyo 13 titles atakayobeba Man U kwenye miaka 20,,, Hiyo miaka 7 ya ndani kwa ndani ambapo Man U akiwa habebi ,, Timu za Chelsea, Mancity , Liverpool na Arsenal mtatakiwa kukaa na Safu zenu za bodi pamoja na benchi la ufundi mkijadili mtakavyogawana kila mmoja taji kwenye hiyo miaka 7 tuliyowaachia, Yaani kama mlivyojadili from 1992 to 2013 huku maisha yakiendelea na babu Ferguson akifanya yake.

Sasa kama kuna mpinzani anayebishi wewe Screenshot hii message na tutakuwa tukikumbushana kila mwisho wa msimu kila lengo likiwa linatimia.
Hizi mbwembwe ni baada ya kufuzu UEFA tu. Nyie jamaa mmesahau timu ni ya aina gani?

Sema binadamu tumeumbwa kusahau ila vichwa vyenu sijui ni vya aina gani mnasahau kwa muda mfupi sana kwa sababu ni juzi tu mlikua mnalialia na Sosha leo yameanza haya.? Sisi tupo kuwakumbusha
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom