Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Historia muhimu kujua tulipotoka ,ww ukiangalia history utaishia kuwa dissapointed na relegation
😄😄, disappointed na relegation umejichanganya tena. Unafuata historia ambapo hata uefa na ueropa hauna, Je akina Ac Milan wao waongee Nini kuhusu historia!?
 
Timu kubwa London haiwezi maliza nafasi ya 10, hizo ni zenu nyie Cheltako

#Arsenal london
We dada wanaume wanne tumekaa meza moja tunajadili namna ya kufanya maandalizi ya kucheza uefa champions league wewe unajipitisha mbele yetu nakanga moja,shika adabu yako.
 
Dogo simply hujielewi na haunielewi ht nachosema, sio kosa lako najua mpira umeujua 2013 hiyo ndio sifa yenu kubwa hii timu
Hata Kama nimeanza kufuatilia soka 2013 huwezi kunidanganya chochote na arsenal yako mbovu hiyo.

Mara ngapi unaaibisha London!?, uefa unapi aggregate ya 10-2 na Bayern Munich halafu unasema oooh! London is red, man u anakupiga 8-0 Chelsea anakupiga 6-0 halafu unasema historia😆😆😆.
 
Sure mkuu, pale mtu legelege hafungi
Hadi sasa Kacheza game 10 ana goal 8.Kipi Cha kujifunza kwa Giroud kipindi kirefu alikuwa apangwi na Lampard hata sub awekwi alikuwa Ni chaguo la tatu mpaka akataka kuuzwa baada ya kupewa nafasi kwenye game dhidi ya Tottenham aliyopiga goal tokea hapo akawa first regular.
 
Top 10 England Club of all time in European Glory

Club nameUEFA CupsUEFA Supper cupsTotal
1) Liverpool FC10414
2) Manchester United628
3) Chelsea FC516
4) Tottenham Hotspurs303
5) Aston Villa213
6) Nottingham Forest213
7) Newcastle United202
8) Leeds United202
9) West Ham United202
10) Arsenal FC202
 
Top 10 England Club of all time in European Glory


[TD valign="top"] Club name [/TD]
[TD valign="top"] UEFA Cups [/TD]
[TD valign="top"] UEFA Supper cups [/TD]
[TD valign="top"] Total [/TD]

[TD valign="top"] 1) Liverpool FC [/TD]
[TD valign="top"] 10 [/TD]
[TD valign="top"] 4 [/TD]
[TD valign="top"] 14 [/TD]

[TD valign="top"] 2) Manchester United [/TD]
[TD valign="top"] 6 [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 8 [/TD]

[TD valign="top"] 3) Chelsea FC [/TD]
[TD valign="top"] 5 [/TD]
[TD valign="top"] 1 [/TD]
[TD valign="top"] 6 [/TD]

[TD valign="top"] 4) Tottenham Hotspurs [/TD]
[TD valign="top"] 3 [/TD]
[TD valign="top"] 0 [/TD]
[TD valign="top"] 3 [/TD]

[TD valign="top"] 5) Aston Villa [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 1 [/TD]
[TD valign="top"] 3 [/TD]

[TD valign="top"] 6) Nottingham Forest [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 1 [/TD]
[TD valign="top"] 3 [/TD]

[TD valign="top"] 7) Newcastle United [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 0 [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]

[TD valign="top"] 8) Leeds United [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 0 [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]

[TD valign="top"] 9) West Ham United [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 0 [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]

[TD valign="top"] 10) Arsenal FC [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
[TD valign="top"] 0 [/TD]
[TD valign="top"] 2 [/TD]
Dull jr arsenal yako mbona ipo mbali
 
Twendeni hivi
IMG_20200726_224705_778.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom