Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Kwa kweli Timu yangu ya Chelsea kwenye suala la kombe huwa naliamini sana hususani anaposaka kombe la kumalizia msimu. Mara chache sana huwa tunatoka kapa yaani bila kunyanyua kwapa.

Lakini mechi ya kesho itakuwa na challenge kubwa ukizingatia Arsenal hawana chochote kwenye ligi wapo top 10, hawapo Uefa champion wala Uropa champion. So watapigana vikali ili atleast wapate kombe la FA.

Lakini pia Chelsea kwenye Makombe ya Final huwa hanaga uzembe wala harembi akishaliona kombe limesimamishwa pale mbele[emoji23][emoji23][emoji23].

Pia ukizingatia kuwa ndilo kombe pekee anawaza kuingia nalo Stamford bridge so itakuwa mechi ya kibabe sana. Kila la kheri Chelsea in FA Cup
Tangu tuchukue UEFA ni miaka miwili tu tulikosa kombe nayo ni 2013/14 na 2015/16
Huko nyuma nako kuanzia 2005 tumekosa makombe miaka miwili tu 2007/8 na 2010/11
Ukiondoa hiyo miaka minne tangu 2005 tumekuwa kila mwaka tukiruka na ndoo kubwa au ndogo Na katika miaka hiyo yote aidha tunakuwa wa pili kwenye ligi moja, mbili au tatu. Hakuna mwaka tulikosa kombe ambako hatukufika fainali labda mwaka tuliochukua EPL
1596209856490.png
 
Ishu hapa ni sera ya club katika kurenew mikataba ya wachezaji wenye umri wa 31+. Nadhani kwa sheria hiyo Willan ataondoka huru labda akubali mkataba wa miaka 2.

Na willan hawezi kukubali mkataba wa miaka 2 Chelsea wakati Barcelona wameshatamka watampa mkataba wa miaka 3.

Baada ya Mechi ya kesho willan anakuwa mchezaji huru kama kweli Chelsea ilikuwa inamuhitaji willan asingesign ule mkataba wa kumalizia msimu angepewa mkataba wa muda mrefu, Sidhani kama Willan tutakuwa naye msimu ujao.
Willian hataondoka, kwa sababu akiondoka ataishia Arsenal yenye ukapa wa makombe na pia Arsenal hawataweza kumpa mkataba wa miaka mitatu, kwa hiyo kama ni miwili Willian atabakia Chelsea yenye mentality ya kubeba makombe. Mwanzoni mwa wiki ijayo mtasikia Willian kakubali mkataba wa miaka miwili. Willian hawezi kwenda kuishi nje ya London na kwa hiyo hataweza kwenda Fullam, Brentford, Westham, Crystal Palace au Tottenham. London is Blue, Willian atabakia Chelsea hata familia yake inaipenda Chelsea tu pale London
 
Mkuu hii sera ni kwa ajili ya kinga ya timu tu. Kama mchezaji anapose risk kubwa kwenye timu japo anahitajika anapewa mkataba wa mwaka mmoja moja kama akina Lampard na Drogba. Inapokuja mchezaji anayo potential kwa timu sera inawekwa pembeni kwanza na ndicho kilichofanyika kwa Luiz na wengineo. Wakati wa Luiz tulikuwa na Shida na usajili kwa ajili ya Ban na timu ikadhani kumuachia Luiz nani atawamentor akina Tomori, Zouma, Christensen nk. Hata hivyo Luiz kwa sababu ya tamaa ya kuforce kucheza ndio maana akatimua
 
Willian hataondoka, kwa sababu akiondoka ataishia Arsenal yenye ukapa wa makombe na pia Arsenal hawataweza kumpa mkataba wa miaka mitatu, kwa hiyo kama ni miwili Willian atabakia Chelsea yenye mentality ya kubeba makombe. Mwanzoni mwa wiki ijayo mtasikia Willian kakubali mkataba wa miaka miwili. Willian hawezi kwenda kuishi nje ya London na kwa hiyo hataweza kwenda Fullam, Brentford, Westham, Crystal Palace au Tottenham. London is Blue, Willian atabakia Chelsea hata familia yake inaipenda Chelsea tu pale London
Nasikia Barcelona wamemuahidi mkataba wa miaka mitatu, tusubiri tuone

Barcelona have reportedly offered Willian a three-year contract as they attempt to sign the Chelsea attacker on a free transfer ahead of the 2020-21 campaign.
 
Predicted Chelsea XI vs Arsenal (3-4-3):
Caballero;
Azpilicueta, Zouma, Rudiger;
James, Jorginho, Kovacic, Alonso;

Pulisic, Giroud, Mount.

chelsealineuparsenal310720.jpg.png

​
 
Marhez vs Pepe

Nakumbuka mechi ya kwanza na city aliyotufunga Marhez alitamba upande wa Alonso kwa kuwa Marhez anatumia mguu wa kushoto na Alonso anatumia wa kushoto wanapishana, kilichotokea Marhez alikuwa anakatiza upande wa kulia wa Alonso ambao ni weak.

Mechi ya marudiano na City Marhez hakuonekana kabisa why? Ulinzi shirikishi Alonso + Rudger walishirikiana sana kwenye kukaba, Marhez akikatiza kulia tuu, Rudger huyu hapa na mguu wa kulia anachukua mpira.

Kesho naimani upande wa Alonso + Rudger, Pepe atawekwa chini ya ulinzi shirikishi asikatishe kulia na kupiga zile cross zake. Na hata ikipigwa cross ZOUMA kazi kwake kucheza mipira ya kichwa wakati huo Auba yuko chini ya ulinzi shirikishi wa James + Azipu.
Nafasi ya Pepe anaanza fundi wa mpira "Saka the ball dancer" awachezeshe makida watu wazima.
Bahati yenu Martinelli is injured, tungepanga vitoto tu viwaue fasta [emoji3][emoji3]

#Coyg[emoji837]
 
Mechi ya Chelsea na Arsenal Fainali FA, nadhani yafuatayo yatatokea:

1. Arsenal itachukua kombe.

2. Mojawapo au zaidi ya yafuatayo yatatokea: (a) Arsenal itapewa penati. (b) Goli la Chelsea litakataliwa.
Sawa nabii
 
Sawa nabii

Pana sababu za kisayansi za kusema hayo hapo juu (1. Arsenal kushinda, 2. Arsenal kupewa penati/goli la Chelsea kukataliwa). Kama nadharia hiyo ina mashiko, hayo niliyoyataja hapo juu yatatukia. Sayansi tu.
 
Ishu hapa ni sera ya club katika kurenew mikataba ya wachezaji wenye umri wa 31+. Nadhani kwa sheria hiyo Willan ataondoka huru labda akubali mkataba wa miaka 2.

Na willan hawezi kukubali mkataba wa miaka 2 Chelsea wakati Barcelona wameshatamka watampa mkataba wa miaka 3.

Baada ya Mechi ya kesho willan anakuwa mchezaji huru kama kweli Chelsea ilikuwa inamuhitaji willan asingesign ule mkataba wa kumalizia msimu angepewa mkataba wa muda mrefu, Sidhani kama Willan tutakuwa naye msimu ujao.
Ngojea tuone uwamuzi wa management ila nitashangaa Sana Kama watamuacha Willian?
 
Rolfes: Leverkusen yet to receive Havertz bid

Bayer Leverkusen are yet to receive an official bid for attacker Kai Havertz amid intense speculation linking Chelsea with a move.
1596216839051.png
​
 
Kwani unazani hawezi kucheza miaka 3 zaidi ndani ya Chelsea?
Drogba alichuja sana at 33 hata aliporudi alirudi tu kama mentor na sio mchezaji tofauti na Willian yuko kwenye peak at 31/32. Peak ya mchezaji huwa inatofautiana, mwingine at early ages na mwingine mid 26/7 na mwingine late age ya 30's
 
Kwani unazani hawezi kucheza miaka 3 zaidi ndani ya Chelsea?
Umri huwa haudanganyi, ni vigumu kumaintain kiwango alichonacho kwa miaka mitatu, zaidi kuna wachezaji wazuri tu ambao club either ishasajili au watakaosajiliwa hivyo kukuwa mbaadala wake.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom