Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hawezi kujuta mkuu, hapo North london wanaenjoy life,that's why kina Luiz wanakuja kukamilisha ndoto zao,
Auba n Lacca have enjoyed every single day since they joined us.

#coyg
Umekunywa gongo wewe nini?
Luiz anakuja kukamilisha ndoto, zipi? kombe gani mtachukua na Luiz
Luiz ana makombe kibao na Chelsea bora hata alipoenda PSG kuliko Arsernal
Luiz kaja Arsenal kwa sababu Arsenbal ni sawa na kwenda China au Marekani kumalizia uzee na timu mbovu
Luiz angekuwa kwenye form yake asingetoka Chelsea kwenda Arsenal. Angetoka Chelsea kwenda Barca au Real Madrid
 
Nasikia kilichobaki kwa Kai Havertz ni wino tu unasubiriwa kwa gharama ya paundi Mil 70

Makubaliano binafsi na Kai Havertz
  1. Atapangwa kwenye first team
  2. Ataungana na akian Werner na Rudiger
  3. Atafundishwa na kocha guru Katika eneo la kiungo mshambuliaji Katika historia ya EPL
  4. Kucheza kwenye ligi bora na timu bora kutoka jiji la London
 
Nasikia kilichobaki kwa Kai Havertz ni wino tu unasubiriwa kwa gharama ya paundi Mil 70

Makubaliano binafsi na Kai Havertz
  1. Atapangwa kwenye first team
  2. Ataungana na akian Werner na Rudiger
  3. Atafundishwa na kocha guru Katika eneo la kiungo mshambuliaji Katika historia ya EPL
  4. Kucheza kwenye ligi bora na timu bora kutoka jiji la London
kwa upande wangu huyu dogo bado pesa ndefu sana sio mchezJi mbaya no mzuri but nahic atapata shda epl
 
Chelsea sio size yako nenda ukaongea na hakina everton West Ham ndo size zako hizo
Kwanini ubague mataji!!! Ushashindwa wewe kama ndio hivyo basi Nottngham Forest kubwa kuliko chelsea

London is Red
Ndo wewe inabidi hujishangae timu yenu tangia ilopoanzishwa kwny miaka ya 1880s na hauna hata kombe 1 la uefa hata chelsea ya mwaka 1905 imekushinda halafu na bado unapiga kelele zako
 
kwa upande wangu huyu dogo bado pesa ndefu sana sio mchezJi mbaya no mzuri but nahic atapata shda epl
Lampard akishapenda chongo anaona kengeza
Havertz ni creative midfielder kama yeye enzi zake ndio kinachomsumbua Lampard.
Anajua akimuachia huyu hatampata kwingine katika umri ule
Havertz akija akaungana na Mount na Pulisic kule mbele itakuwa balaa
Ameona Odoi ana safari ndefu ya kwenda kuja kuwa winga au mshambuliaji mzuri
Wacha aje tu ila pia plan za kuboresha defence iwepo
Katikati ikiwekwa kipora sawa, bado Kante, Kovacic na Jorginho wataweza kumudu pale kati
akija Havertz tutakuwa tumamuitaji LB na CB tu
 
1595321159459.png
 
TETESI: Chelsea wakubaliana na Leverkusen dau la paundi mil 72 kama gharama ya kumleta Kai Havertz darajani
Tusubiri confirmation report
Atapewa mkataba wa miaka mitano
Malipo ya Euro Mil 9/season
 
Would not making the Champions League make any difference to Havertz?
There has been plenty of talk about whether a failure to qualify for the Champions League would matter to Chelsea's Kai Havertz deal.

It appears not.

Whilst the Blues are in pole position to make the top four after Leicester's defeat to Spurs, Havertz is said to have become attracted to a move to Chelsea after talks with Frank Lampard.

It means that the Bayer Leverkusen star is open to a move to Stamford Bridge even if they do make the top four.
 
Mpira sio uadui
Wakati mashabiki wengine wakitukanana kama akina Big G Pilipili, wachezaji wao wanapeana hugs nyingi baada ya mechi
Zouma akimpa hug ya pole Paul Pogba baada ya ile mechi ya kukata na shoka
1595322652235.png

Juan Mata akibadilsihana maneno na Azpi huku akimpa shati lake Pedro
1595322764425.png
 
Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo

"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul
#Coyg
Huyo auba mwenyewe anataka kusepa ndio ujue level yako Ni ipi?
 
kama umemuangalia cio mzur kweny dribbling but anakimbia sana tofaut na Willian ana dribble pia anwez kukumbia akachukua attention ya opponents defense kitu ambacho sikion kwa uyu dogo but akisajiliwa itakua pow pia
Mzee unachofeli unamfananisha winger na kiungo mshambuliaji ( no.10) nafikiri ingefaa umfananishe kai na ozil au de bryne au Bruno though pia huyo dogo ni kiraka hata winger anacheza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
 
Hawezi kujuta mkuu, hapo North london wanaenjoy life,that's why kina Luiz wanakuja kukamilisha ndoto zao,
Auba n Lacca have enjoyed every single day since they joined us.

#coyg
Eti David Luiz ndoto yake Ni Arsenal?we utakuwa una tatizo la akili Luiz angekuwa na ndoto za kucheza kwenu asingekuja kwenu akiwa ana umri wa miaka 32
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom