SHERRIF ARPAIO
JF-Expert Member
- Aug 25, 2010
- 9,539
- 5,923
Baada ya kufungwa ndo unasingizia kuwa walibetViazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Timu yetu Takataka imeifunga MAVI...yaan Jana tuliwakosakosa mlikuwa mle mkono nyieViazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Sawa. Kama sisi ni timu mbovu na tumebahatisha basi ninyi ni timu mbovu, mara elfu. Maana hata kubahatisha hamjui!Viazi mmebhatisha nafikiri Kocha au de Gea mmoja wapo amebeti sema mjiandae hii team hamna bado sana .. viazi kabisa [emoji57]
Unayo mangapi mpaka sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa[emoji3]Hapo ulipo nazani unajua ukweli SEMA tu unajipa moyo na Chelsea kawaida hamalizi msimu bila kupata kombe.
Auba 1 ni sawa na kikosi chote cha Chelsea kuanzia kipa mpaka strikerMbona game zote mbili huyo auba ameshindwa kuscore? Chelsea Ni chuma Cha pua mzee
Kwani Westham aliyekugonga 3 anashika nafasi ya ngapi? Au ndio bingwa wa ligi???? [emoji23]Hata aibu hauna mkuu kwenye ligi upo nafasi ya 10 halafu utaongea Nini na wewe kwangu, arsenal wewe ni kama Norwich tu, we kwangu hauna lolote, eti nilikuotea wewe unaweza pigwa nne halafu unasema nilikuotea kweli!?, hebu kuwa na aibu arsenal ni ile ile tu haijbadilika popote. Ngoja upepo wa kisulisuli uje nikupige nyingi Sana.
LONDON IS BLUE,arsenal ni utopolo tu, nothing more.
Ila wale kina Rudiger hawawezi kufanya mistake na kina Auba wakafunga eeeehh[emoji23][emoji23][emoji23]Ukweli ni kwamba Arteta ameibadilisha Arsenal
Arsenal hii sio ile ya kichwa cha mwenda wazimu
Arsenal wameimarika sana kwenye defense na mbele
Arsenal sio timu ya kuwabeza
Chelsea wakiendeleza wembe huu wa jana tutawalazimisha akina Luiz wafanye mistakes nyingi zitakazozaa magoli
Ilo ndio tatizo la LampardAbraham fainal anaeza akacheza..utashangaa Giroud anaanzia sub..
Ile game Cech aliuza haifai hata kutumia kama reference, na yule muhindi ndio source, mtu kashapewa mkataba then anampanga tena dhidi yenu,Hahahahaha[emoji23] umempa mwongozo mzuri
Mbeleko iliwasaidiaMkuu msimu huu mechi zote tulizokutana ulikua na forward wa Manyema au Yeovil Town? Huyo forward wa dunia hakuwepo kwenye mechi zetu?
Na game ya Liver??? [emoji23][emoji23][emoji23]Kilio chenu kitakuwa kikubwa sanaArsenal Hana ubavu wa kupata matokeo dhidi ya Chelsea kutokana na aina ya uchezaji wa Chelsea,sisi tukicheza mpira wa kigumu tuna kuwa untouchable game ya Jana Giroud aliwafanya mabeki wa man u wafanye makosa so man City hawana Aina ya striker mwenye nguvu ndio maana mabeki wa arsenal walienjoy game.
Huo mfumo aliutumia kumuua Mourinho nje ndaniLampard kile kikosi cha jana alikipanga yeye kweli!!??..jana alipanga kikosi kitamu sana
Muwe mnaangalia mipira sio stori za vijiweni[emoji57]Wewe na Man u hamnaga utofauti ukishinda mechi mbili tayari ubingwa mara upo kwenye form mara lacazeti, mara auba yupo kwenye form. Mpira siyo kama unavyofikiria ivo.
Pia unapoongea unatakiwa kukumbuka juzi tu nimekupiga nje ndani kwenye Ligi bila kusahau BAKU kwenye Uropa[emoji23][emoji23][emoji23]
Sasa kati ya chelsea na Arsenal nani utopolo?[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Weweeeeeh[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Bayern tukiwachezea mpira wa jana hawachomoki, changamoto tuliyonayo kwa bayern ni zile goal 4.