Will Jr
JF-Expert Member
- Jul 21, 2018
- 5,078
- 7,422
Huyo anakuja mkuu,hatuchezi michuano yoyote kimataifa nxt season lakini anataka kuja tu, umeona ukubwa wa timu yetu sio hizo link mnazoweka hapo.Mmh kwan wachezaji gani wazuri mmekuwa linked nao kwa sasa HV mkigombania kucheza Europa huko ukiachana na Thomas?


