Matokeo unajua yatakuaje ila hapa unajifurahisha tu.Unaleta unazi, subiri moto ukuwakie,cha kufanya kusanya wachezaji wazuri wote duniani wakusaidie ndio labda utapata draw![]()
Matokeo unajua yatakuaje ila hapa unajifurahisha tu.Unaleta unazi, subiri moto ukuwakie,cha kufanya kusanya wachezaji wazuri wote duniani wakusaidie ndio labda utapata draw![]()
Wewe trend yetu si unaiyona mkuu, km game tumepoteza ujue tulidharau tu km mechi ya SpursWewe na Man u hamnaga utofauti ukishinda mechi mbili tayari ubingwa mara upo kwenye form mara lacazeti, mara auba yupo kwenye form. Mpira siyo kama unavyofikiria ivo.
Pia unapoongea unatakiwa kukumbuka juzi tu nimekupiga nje ndani kwenye Ligi bila kusahau BAKU kwenye Uropa
Sasa kati ya chelsea na Arsenal nani utopolo?![]()

,shida yetu kubwa kwny big match ilikuwa ni discipline toka enzi za Wenger, Arteta kadili na hilo vizuri that's why matokeo tunayapta kwny mechi ngumu nw.


Kwa utopolo wa Mason MountMkuu Arsenal haniwazishi kabisa hata awe kwenye ubora gani. Lazima tulipe kisasi cha fainal ya FA mwaka 2017 walitupiga 2-1.
Arsenal ya kipindi kile ilikua moto na walifanya ili kuweka heshima kwa Wenger ndio alikua nakaribia kuachana na maswala ya mpira. Hii Arsenal ya sasa hata kesho anakufa mapema sana.


,sie tunacheza na kina Gabriel jesus,Riyad mahrez sio utopolo huo,afu hii mechi its all about tactical approach na kocha wenu mweupe sn kwny hii sekta, Show za kihuni za watoto wa mjini kina Arteta haziwezi

Bila kumfunga liver unadhani we naye utaonekana ni timu?,Kazaneni kufunga timu kubwa ili mpande chart,yaani nyie mkikaa miaka 5 bila kombe lolote mnarudi level zenu za Blackburn rovers tu.Sasa wewe una ukubwa gani?




Arsenal sio king of london kwa sababu hajawahi kubeba uefaUnayo mangapi mpaka sasa,ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa
Na ndio mngekuwa king of london, ila kwakuwa hamna mataji ya kutosha nyinyi mnabaki kuwa kama Brighton tu![]()
Kusanya mataji weka hapo tupige hesabuArsenal sio king of london kwa sababu hajawahi kubeba uefa




Ukweli mchunguBila kumfunga liver unadhani we naye utaonekana ni timu?,Kazaneni kufunga timu kubwa ili mpande chart,yaani nyie mkikaa miaka 5 bila kombe lolote mnarudi level zenu za Blackburn rovers tu.![]()






hoja ww hauna uefa
Tumeshafunga mjadalaKusanya mataji weka hapo tupige hesabu
King kama king
Subiri mkutane na Chelsea ndio mtajua mna discipline au hamna?Wewe trend yetu si unaiyona mkuu, km game tumepoteza ujue tulidharau tu km mechi ya Spurs,shida yetu kubwa kwny big match ilikuwa ni discipline toka enzi za Wenger, Arteta kadili na hilo vizuri that's why matokeo tunayapta kwny mechi ngumu nw.
Nyie always mnatufunga tunapokosa nidhamu ya mchezo, hiyo ndio huwa ngao yenu toka enzi za Mou,wachezaji kufanya blunders za kipuuzi, pona yenu ni tupate redcard,
Mjiandae kisaikolojia.
Auba huyo anakuja kwa Kepa
#Coyg
Saw mara yenu ya mwisho kuchukua kombe lolote hata la mbuzi ni mwaka ganiUkiuliza utaambiwa kwa miaka hii mitano
Mnaforce ukubwa dah, ukubwa unakuja wenyewe,
London is Red
Na ww kusanya mataji yako ya ulaya tupige mahesabu nani kingKusanya mataji weka hapo tupige hesabu
King kama king
Kwani sisi huyo man City hatujambomoa mpaka uje kututambia hapa?Kwa utopolo wa Mason Mount,sie tunacheza na kina Gabriel jesus,Riyad mahrez sio utopolo huo,afu hii mechi its all about tactical approach na kocha wenu mweupe sn kwny hii sekta, Show za kihuni za watoto wa mjini kina Arteta haziwezi
![]()
Mkuu arsenal ndo anamakombe mengi ya epl kuliko chelsea tena wametuacha kwa gap kubwa na ndo kombe ambalo watatamba nalo hakuna kombe lingine waliotuzidi kwa gap kubwa



FA????Kwa utopolo wa Mason Mount,sie tunacheza na kina Gabriel jesus,Riyad mahrez sio utopolo huo,afu hii mechi its all about tactical approach na kocha wenu mweupe sn kwny hii sekta, Show za kihuni za watoto wa mjini kina Arteta haziwezi
![]()

eti show za kihuni mara show za watoto wa mjinj kina Arteta. Huyo Mount umeuona moto wake jana au unasimuliwa? Sijamtaja Kova wala James hapo.
Hujanipga gap kubwa kwny FAFA????
Wewe una miaka Kama 2 ujaiona pepo ya uefa na Mafanikio yako makubwa Ni kuingia top 4 basi sarri pamoja na kushinda ueropa league lakini tulimfukuza angekuwa kwenu si mngekuwa mnamuabudu kabisa alafu unakuja kutupigia kelele hapaBila kumfunga liver unadhani we naye utaonekana ni timu?,Kazaneni kufunga timu kubwa ili mpande chart,yaani nyie mkikaa miaka 5 bila kombe lolote mnarudi level zenu za Blackburn rovers tu.![]()