Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Mzee unachofeli unamfananisha winger na kiungo mshambuliaji ( no.10) nafikiri ingefaa umfananishe kai na ozil au de bryne au Bruno though pia huyo dogo ni kiraka hata winger anacheza

Sent from my TECNO-C8 using JamiiForums mobile app
apo nmezungumzia kma wings coz mech zingine Leverkusen anacheza Kama wings so nmecompare akichez wings
Upnde wa kiungo nhic mount atacheza
 
That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 8
Pointless... Ikipidi hivyo QPR ingekuwa club kubwa,
Azam ingekuwa kubwa kuliko Simba na Yanga
 
Bangi za chooni mbaya sana, unavuta harufu ya mavi na moshi kwa wakat mmoja. Eti Arsen88 timu kubwa??? dah! .......
Wewe naona ushalikoka tayari bhangi iliyomixiwa na mavi, mpaka unajiaminisha ujinga
 
Ona aibu basi miaka 17 ni umri wa kijana anaelekea kumaliza elimu ya sekondari. Ulikua unafanya nini miaka yote hiyo? Sijaribu kuku catch mimi nafanya yangu ambayo wewe yalishakushinda
Sasa wewe si ulikaa 50yrs???
Sasa miaka yote hiyo si mtu anajukuu kabisa, unacheka kibanzi wakati una boriti
 
Kama Real Madrid, Barcelona, Bayern and the likes wangekua na mentality kama yako leo hii sijui wangekua wapi? Hii ndio sababu Arsenal inazidi kudidimia kila siku same mentality since 1980's you cant be in a competitive world with kind of thinking.

Quiz. Nenda kasome link hiyo hapo chin vilabu bora duniani na usome pia vigezo vilivyotumika hapo. Ukimaliza kawaelekeze na ndugu zako jukwaani kwenu kwamba Chelsea ni kaka yako pale London

The 30 biggest clubs in world football, including Man United, Liverpool, and Barcelona
Hiyo link hata wewe unaweza kuandika hivyokwahiyo kumwembe akiandika makala pale mwanaspoti ndio inakuwa sheria kwako????

Nonsense
 
Would not making the Champions League make any difference to Havertz?
There has been plenty of talk about whether a failure to qualify for the Champions League would matter to Chelsea's Kai Havertz deal.

It appears not.

Whilst the Blues are in pole position to make the top four after Leicester's defeat to Spurs, Havertz is said to have become attracted to a move to Chelsea after talks with Frank Lampard.

It means that the Bayer Leverkusen star is open to a move to Stamford Bridge even if they do make the top four.
Nilichopenda dirisha hili ni jinsi lamp n cech walivyo na uwezo wa kuongea na player tunaowahitaj na kuwavutia waje kwetu
 
Ukubwa wa klabu yangu hauhitaji pk nisome hizo link,ukubwa wetu hata kwa macho ya mwili tu unaonekana,we endelea kutafuta ukubwa kwny pepa.
Hawajielewi hao, wanaforce heshima
Watu wamepambana wao wanataka mserereko
 
Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo

"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul
#Coyg
Utopolo kama Utopolo
 
Kibonde wewe nakupasua First half tu,Hatujawahi poteza final ya FA dhidi ya midtable nyie, ilo kombe huwa letu pk wameliita Emirates FA cup
Kwanza wao wamechukua 8 sisi 13 hawa sio wa kupigizana nao kelele,
 
ARSENANE endeleeni kuhesabu makombe mpaka ya 1st division, league one na Arsenal women. Hayo hayatuhusu View attachment 1512509
Huoni aibu mnahesabu mpaka makombe ya daraja la pili na championship

CHELWOWOWO kweli mna vituko,
Screenshot_20200720-224921.jpg
 
Mwaka uliofuata tukachukua ndoo
Wao wamemsajili Pepe na Auba wakaishia Europa bila kombe
Nakuambia Auba anajuta katika maisha yake kwenda Arsenal kama ambavyo Di Maria alijuta kusajiliwa na Manure, too bad!!
Hujielewi, mtu anajuta vipi kusajiliwa na timu kubwa??? Sasa Manure utafananisha na Chelsea de UTOPOLO acha mambo yako bwana
 
Umekunywa gongo wewe nini?
Luiz anakuja kukamilisha ndoto, zipi? kombe gani mtachukua na Luiz
Luiz ana makombe kibao na Chelsea bora hata alipoenda PSG kuliko Arsernal
Luiz kaja Arsenal kwa sababu Arsenbal ni sawa na kwenda China au Marekani kumalizia uzee na timu mbovu
Luiz angekuwa kwenye form yake asingetoka Chelsea kwenda Arsenal. Angetoka Chelsea kwenda Barca au Real Madrid
Kwahiyo Giroud kaenda fc kobe ya London kumalizia soka baada ya kutemwa na Arsenal???
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom