Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

1595301897089.png
 
17 yrs now without EPL title and we still the Biggest club in london,try to catch us if you can.[emoji3][emoji3][emoji3]

The invincible Arsenal[emoji123][emoji123]

#Coyg[emoji837]
Ona aibu basi [emoji851][emoji851] miaka 17 ni umri wa kijana anaelekea kumaliza elimu ya sekondari. Ulikua unafanya nini miaka yote hiyo? Sijaribu kuku catch mimi nafanya yangu ambayo wewe yalishakushinda
 
Nakuheshimu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sio wa kuandika huu utopolo, nani kanipora ufalme wa london? Arsenal ni mfalme wa London wa muda wote,
Ukija kwa idadi ha mataji nakuchapa
Ukija head to head kwa vipigo nimekukalisha,
Chelsea komaeni na Spurs, watford na westham kwanza[emoji57]
Kitu ambacho hamkielewi ni kwamba historia ipo tu ndio tulipobaki tunawaheshimia hapo kwamba nyinyi mlikua bora enzi za giza sisi ni bora enzi hizi hilo mnalitambua vizuri lakini mnaleta ubishi mno. Chelsea ni bora zaidi yako mara 10 ndio maana tunaitwa The Pride Of London[emoji838][emoji838][emoji838]
 
Makombe matano[emoji23][emoji23][emoji23]?? Sio gape kubwa, ulikaa 50 yrs unasaka kombe moja tu ushasahau? Sasa hayo 5 si itakuwa karne mbili na nusu
Wewe mpaka sasa umekaa miaka mingapi unasaka EPL? And still counting..... [emoji23][emoji23][emoji23]
 
Sisi hatununui makombe km nyie,ona mmetuletea mambo ya FFP mmeharibu na ladha ya football, Mwanzo hakukuwa na vitu km hivyo kabla hamjautaka ukubwa kwa nguvu, sio km timu hazikuwa na pesa,leo Halima wa Man u ni £80mil wakati kipindi cha Invincible huyu angekuja bure pale Gunners afu angekula bench pk alie [emoji3][emoji3][emoji3]
Kama Real Madrid, Barcelona, Bayern and the likes wangekua na mentality kama yako leo hii sijui wangekua wapi? Hii ndio sababu Arsenal inazidi kudidimia kila siku same mentality since 1980's you cant be in a competitive world with kind of thinking.

Quiz. Nenda kasome link hiyo hapo chin vilabu bora duniani na usome pia vigezo vilivyotumika hapo. Ukimaliza kawaelekeze na ndugu zako jukwaani kwenu kwamba Chelsea ni kaka yako pale London[emoji838][emoji838][emoji838]

The 30 biggest clubs in world football, including Man United, Liverpool, and Barcelona
 
Ukubwa wa klabu yangu hauhitaji pk nisome hizo link,ukubwa wetu hata kwa macho ya mwili tu unaonekana,we endelea kutafuta ukubwa kwny pepa.
 
🤣🤣🤣🤣 Umeshindwa hoja Leo hii mchezaji yoyote anayewaniwa Kati yangu na wewe lazima aichague Chelsea unajua kwanini? Jibu unalo
 
Kama Real Madrid, Barcelona, Bayern and the likes wangekua na mentality kama yako leo hii sijui wangekua wapi? Hii ndio sababu Arsenal inazidi kudidimia kila siku same mentality since 1980's you cant be in a competitive world with kind of thinking.

Quiz. Nenda kasome link hiyo hapo chin vilabu bora duniani na usome pia vigezo vilivyotumika hapo. Ukimaliza kawaelekeze na ndugu zako jukwaani kwenu kwamba Chelsea ni kaka yako pale London[emoji838][emoji838][emoji838]

The 30 biggest clubs in world football, including Man United, Liverpool, and Barcelona
Naona umempa nondo kweli kweli akirudia amuone daftari
 
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] Umeshindwa hoja Leo hii mchezaji yoyote anayewaniwa Kati yangu na wewe lazima aichague Chelsea unajua kwanini? Jibu unalo
Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo [emoji3][emoji3][emoji3]

"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul

Mmh kwan wachezaji gani wazuri mmekuwa linked nao kwa sasa HV mkigombania kucheza Europa huko ukiachana na Thomas?
 
Nani akatae Arsenal ikiwa kwenye ubora wake,sisi tunaleta Watu km Auba,Pepe na hatupo UEFA,ht tusipocheza Europa tunaweza kuattract good players,wewe jaribu usiende Uefa uone nani atakuja kwenye utopolo huo [emoji3][emoji3][emoji3]

"When Arsenal knock it's a different knock"~Raul
#Coyg[emoji837]
Jukwaa lenu limechacha kule ..nyie pambaneni mcheze Europa mwakani ..achaneni na FA siyo ya kwenu tena..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom