Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Bila kumfunga liver unadhani we naye utaonekana ni timu?,Kazaneni kufunga timu kubwa ili mpande chart,yaani nyie mkikaa miaka 5 bila kombe lolote mnarudi level zenu za Blackburn rovers tu.[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Nyie mpaka sasa mmekaa miaka mingapi bila kombe?[emoji851]
 
Unayo mangapi mpaka sasa, [emoji23][emoji23][emoji23]ingekuwa hivyo si mngekuwa timu kubwa sasa[emoji3]
Na ndio mngekuwa king of london, ila kwakuwa hamna mataji ya kutosha nyinyi mnabaki kuwa kama Brighton tu[emoji23]
Halafu hii nayo iishakua pointless. Yan tuchukulie mfano kwakua Madrid kazidiwa makombe na Barca basi Madrid ni timu ndogo?

Kinachowauma ni ule utawala wenu wa London kuchukuliwa. Si kwamba hamjui ila ndio roho zinawauma mkisikia London is blue[emoji838][emoji838][emoji838]
 
Hujanielewa Gap la kwenye FA sio kubwa kama gap la kwenye ligi.na husiniletee kitu ambacho nakifahamu
Makombe matano[emoji23][emoji23][emoji23]?? Sio gape kubwa, ulikaa 50 yrs unasaka kombe moja tu ushasahau? Sasa hayo 5 si itakuwa karne mbili na nusu
 
Halafu hii nayo iishakua pointless. Yan tuchukulie mfano kwakua Madrid kazidiwa makombe na Barca basi Madrid ni timu ndogo?

Kinachowauma ni ule utawala wenu wa London kuchukuliwa. Si kwamba hamjui ila ndio roho zinawauma mkisikia London is blue[emoji838][emoji838][emoji838]
Nakuheshimu ujue[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]wewe sio wa kuandika huu utopolo, nani kanipora ufalme wa london? Arsenal ni mfalme wa London wa muda wote,
Ukija kwa idadi ha mataji nakuchapa
Ukija head to head kwa vipigo nimekukalisha,
Chelsea komaeni na Spurs, watford na westham kwanza[emoji57]
 
Na ww kusanya mataji yako ya ulaya tupige mahesabu nani king
Kwanini ubague mataji!!! [emoji23][emoji23]Ushashindwa wewe kama ndio hivyo basi Nottngham Forest kubwa kuliko chelsea[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

London is Red
 
17 yrs now without EPL title and we still the Biggest club in london,try to catch us if you can.[emoji3][emoji3][emoji3]

The invincible Arsenal[emoji123][emoji123]

#Coyg[emoji837]
That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 8
 
That biggest tag is only created by you, nyie mashabiki ndio mnasema Arsenal timu kubwa wakati ufukara umewazunguka nje ndani, hata kusajili hamuwezi mnaishia kununua makapi ya mil 8
Sisi hatununui makombe km nyie,ona mmetuletea mambo ya FFP mmeharibu na ladha ya football, Mwanzo hakukuwa na vitu km hivyo kabla hamjautaka ukubwa kwa nguvu, sio km timu hazikuwa na pesa,leo Halima wa Man u ni £80mil wakati kipindi cha Invincible huyu angekuja bure pale Gunners afu angekula bench pk alie [emoji3][emoji3][emoji3]
 
Halafu kumbe vilabu kutoka London vimewachapa bakora vilabu kutoka Manchester
Big up Arsenal lakini hatutawaangalia usoni kwenye finali
 
Adjustments.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom