DullyJr
JF-Expert Member
- Apr 10, 2011
- 13,993
- 11,871
Muulize mwenzio alionijibuNdio umeandika nini hapo?
Wanajimegea vipindi eti wanasema tuanze kihesabj kuanzia mwaka 2000Hii comment huwa wanairuka teh teh


hawa ni vichaa!!! Ina maana kuanzia 1999 kurudi nyuma cheltako haijakuwepo duniani? Kama ni hivyo timu yao imeanzishwa 2000 sasa kwanini wakomae kuutaka ukubwa na hata barehe ya kwanza bado, yaani bado vigoli






Ila huu ufalme wenu umekuwa gumzoWanajimegea vipindi eti wanasema tuanze kihesabj kuanzia mwaka 2000hawa ni vichaa!!! Ina maana kuanzia 1999 kurudi nyuma cheltako haijakuwepo duniani? Kama ni hivyo timu yao imeanzishwa 2000 sasa kwanini wakomae kuutaka ukubwa na hata barehe ya kwanza bado, yaani bado vigoli
Ndio maana nasema hili ni jukwaa la vitoto![]()
Kusanya mataji yako mpaka ya championship lete tupige hesabuChelsea sio size yako nenda ukaongea na hakina everton West Ham ndo size zako hizo Ndo wewe inabidi hujishangae timu yenu tangia ilopoanzishwa kwny miaka ya 1880s na hauna hata kombe 1 la uefa hata chelsea ya mwaka 1905 imekushinda halafu na bado unapiga kelele zako



mbona simple tu.
kuna mechi kacheza kma winga thus y nkamlinganisha so icho ndo nlicho mkompare nachoMkuu umechanganya mafaili
Kai Havertz anacheza namba 10 tofauti na Willian, ila tushukuru maana dogo anacheza nafasi kama nne kwa ufasaha. Huyu kiraka anaweza akacheza MC (Midfielder Center), RW (Right Winger), ST (Striker) na nafasi anayo ipenda zaidi ni AM (Attacking Midfielder). Nadhani kutokana na jinsi alivyo kiraka pamoja na umri wake ndio maana Lampard anamtaka.
Katika mashindano yote msimu wa 2019/20 kahusika moja kwa moja kwenye magoli 28 katika michezo 46, sio haba tukiwa nae kwenye kikosi.
Wewe wasema na hatuwezi kataa inawezekana ni mtu wake wa karibuHuyo auba mwenyewe anataka kusepa ndio ujue level yako Ni ipi?




giroud kachukua ueropa ambayo arsenal anaiotaKwahiyo Giroud kaenda fc kobe ya London kumalizia soka baada ya kutemwa na Arsenal???![]()
Midtable player!!!! Toa mchezaji pale bayern sio kuokoteza RB na LiverksenOya Chelsea wameshamsajili Kai huko kilichobaki Ni medical checkup tu.




Mkuu usichekeshe umma kante humjui sio, tulikuwa n hazard kasepa sahv tunawachezaji potential Wa kufika level hizo pulisic, Werner, ziyech ...huyo giroud mliomtema cha ajabu amenyanyua kwapa msimu wake Wa pili tu huko auba anajuta anajiuliza kwenye mkatabaKwani hapo chelsea WCP ni nani na nani? Usije kusema Giroud tuliyemtema kwa kukosa nafasi katika kikosi chetu![]()
Hizo mechi alizocheza kama winger ni chache sana ukilinganisha na no 10kuna mechi kacheza kma winga thus y nkamlinganisha so icho ndo nlicho mkompare nacho
Kwahiyo Cheltako ilizaliwa 1992?Leta makombe yako ya EPL tangu mwaka 1992, yale ya wanawake weka pembeni.



Pepe mlimtoa wapi nyie!?Midtable player!!!! Toa mchezaji pale bayern sio kuokoteza RB na Liverksen![]()
Wewe hujieleei yaani Timo na pulisika ni WCP hahahaahMkuu usichekeshe umma kante humjui sio, tulikuwa n hazard kasepa sahv tunawachezaji potential Wa kufika level hizo pulisic, Werner, ziyech ...huyo giroud mliomtema cha ajabu amenyanyua kwapa msimu wake Wa pili tu huko auba anajuta anajiuliza kwenye mkataba
Lille kama Hazard tu.Pepe mlimtoa wapi nyie!?
We ndo hujielewi unajitekenya afu unacheka mwenyewe nmekwambia wana potential ya kuwa World class au yai ni tatizo kwako nnWewe hujieleei yaani Timo na pulisika ni WCP hahahaah
Ziyech, Mount na Kai Havertz wanacheza namba flexible za mbele kwa hiyo kuwaswitch kulingana na oponent ni kazi rahisiDuh sasa hcho kikosi ziyech utamuweka wapi...kama unahic mount atacheza kiungo
Wakati wanaume tunajadili mipango ya maendeleo, namna ya kuchukua mataji zaidi, ninyi mnajadili historia. Hii ndio big difference between Chelsea and ArsenalKwanza wao wamechukua 8 sisi 13 hawa sio wa kupigizana nao kelele,
Wakati wanaume tunajadili mipango ya maendeleo, namna ya kuchukua mataji zaidi, ninyi mnajadili historia. Hii ndio big difference between Chelsea and ArsenalHawajielewi hao, wanaforce heshima
Watu wamepambana wao wanataka mserereko![]()
Mtawajua kwa matendo yao, Giroud katupa Europa na sasa anakaribia kutupa top 4 tena top 3. Hapo vipi?Kwani hapo chelsea WCP ni nani na nani? Usije kusema Giroud tuliyemtema kwa kukosa nafasi katika kikosi chetu![]()