lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,700
- 25,935
Wee mwenye kujua 3-4-3 imewamalizaHuna hujualo wew kaa kimya [emoji57][emoji57]
Wee mwenye kujua 3-4-3 imewamalizaHuna hujualo wew kaa kimya [emoji57][emoji57]
Kweli kabisa.underdogs siku zote wanafanya kweli
Arsenal hana uwezo wa kuifunga Chelsea kwa sasa. London is Blue[emoji838][emoji838]Mkuu wakumbushe tulivyokutana palepale Wembley miaka michache nyuma huku wana hazard,Costa na takataka nyingine ubao ulisomekaje.
Enzi hizo [emoji460]Ramseeeyy!
Umeangalia tulivyocheza leo? Ndio sababu tuko nafasi ya 3. Jiandae kisaikolojia mkuuMjiandae kisaikolojia fainali lakini.
Mmesikia nyie gari la mkaa
hata tukicheza kiwango cha Shefield tutawafunga tu haoArsenal hana uwezo wa kuifunga Chelsea kwa sasa. London is Blue[emoji838][emoji838]
Kule kwa majirani wanamsifia Kovacic kawanyima kucheza katikatiMount kwangu ndio man of the match
Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?Arsenal hana uwezo wa kuifunga Chelsea kwa sasa. London is Blue[emoji838][emoji838]
Acha kusema hivyo wewe 🤣 🤭Drone Camera sa itakuwaje? Mtaondoka mnalia kama Man U
Nyinyi mnaenda kukamilisha ratiba tu,hata tukicheza kiwango cha Shefield tutawafunga tu hao
Now vice versa is true, man United ni utopolo tu🤣🤣🤣🤣Mzee acha kuongea Sana hata game yenyewe bado uwe unajitahidi kuweka akiba ya maneno.
Kovacic ni mchezaji mzuri sanaaa mi huwa namshangaa lampard anavyombaniaKule kwa majirani wanamsifia Kovacic kawanyima kucheza katikati
Yaani ule msemo husimtukane mamba kabla ujavuka mto ndo unafanya kazi kwa manyumbuManyumbu mlitusema sana, mlitutukana sana, mlitudharau sana mkasau kwamba mume hafokewi, kelebu 3 za nguvu kimyaaaaa
Unabonyeza BAKUKupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?
Asa we ndo kiazi maana umefungwa😁😁😁, watu bhana man United nayo timu hiyo!?, Mabeki yanagongana vichwa yenyewe kwa nyenyewe, 18 games haujapoteza halafu upo nafasi ya tano tu hauhami😃😃😃, hivi mko serious kweli na kocha wenu olesendeka!?We kiazi acha sababu kipigo Kipo pale pale [emoji23][emoji23][emoji23]
Nitakubonyeza 3-0 tena bila hurumaKupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?