lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,383
- 25,490
Ila huyo anayeitwa BIG G Pilipili atakuwa ni TEJADuuuh mbona una roho mbaya wew, sio vizuri kuwaombea ndugu zako kifo
Ila huyo anayeitwa BIG G Pilipili atakuwa ni TEJADuuuh mbona una roho mbaya wew, sio vizuri kuwaombea ndugu zako kifo
Kwani mna wachezaji wengine zaidi ya hao aliowapanga?Hichi kikosi Lampard amepanga ni dhahiri kuwa hayuko serious na FA.
Kwani wewe ulitaka kikosi kiweje?Hichi kikosi Lampard amepanga ni dhahiri kuwa hayuko serious na FA.
We kiazi acha sababu kipigo Kipo pale paleHichi kikosi Lampard amepanga ni dhahiri kuwa hayuko serious na FA.



Kwanini Pulisic nje aisee! ... mnataka tusikae kwa amani huku mtaani wazee? ...
Hii ndo game plan ambayo lampard inabidi aingie nayo,tusitake kucheza mpira saanaa...pia nimeangalia mechi za man u wanapata sana shida wakicheza na timu inayojilinda zaidiPulisic - Giroud - Willan
Alonso - Kovacic - Joginho - James
Rudger - Zouma - Azipucueta
Leo ni mwendo wa ulinzi shirikishi, hakuna kufunguka ni kunabana nafasi, tunaziba njia zote za mawasiliano. Mechi tukaimalize kwenye matuta.
Sababu hiyo hapoKwanini Pulisic nje aisee! ... mnataka tusikae kwa amani huku mtaani wazee? ...
Sema wazi Bruno ni kama Luiz Suarez kwa kudiveMan U ina divers wengi, Chelsea kuwa makini
Pulisic anapasha labda anataka kuingiaSababu hiyo hapoView attachment 1511180
Leister leo alikua na 70% possesion na kapigwa 3 bila.Pamoja na formation ya kujihami tunamiliki mpira zaidi ya 60%
Manyumbu hawachezi kabisa nafikiri wanasubiri counter
💙💙1-0
hongera Giroud
London is Blue
tayari hukoLeister leo alikua na 70% possesion na kapigwa 3 bila.
Hapo bado sijasemea man city dhidi ya asenane.