Drone Camera
JF-Expert Member
- Jul 25, 2017
- 14,121
- 14,033
Ahaaa kumbe na wewe wa hii timu😊Kwendaaa 😆😆
Ahaaa kumbe na wewe wa hii timu😊Kwendaaa 😆😆
HahahaZinakuja tena 4 mjipange
Ahaaa kumbe na wewe wa hii timu😊
Vijana wamezaliwa upya sasa hivi kila mkubwa atakaye kuja mbele ata pata stahki zake ipasavyoMjiandae kisaikolojia fainali lakini.
Mmesikia nyie gari la mkaa
Mkuu wakumbushe tulivyokutana palepale Wembley miaka michache nyuma huku wana hazard,Costa na takataka nyingine ubao ulisomekaje.Sisi watoto wa arteta tupo makini tunamfutilia mwali wetu wa kumuoa pale Wembley.
Tukutane fainali!Unataka kusemaje
Yaani sahivi hadi raha!Vijana wamezaliwa upya sasa hivi kila mkubwa atakaye kuja mbele ata pata stahki zake ipasavyo
We ni Arsenal?Tukutane fainali!
Hahaa unauliza jibu.We ni Arsenal?
bado kikosi cha hovyokikosi Cha Chelsea kwa mda huu bdo Kiko ovyo kuliko Man untd so sometimes ishu wachezaji wenyew kujituma
Kina Cho wasaidia man untd wachezaji wenyew wanajitoa kwenye uchezaji
underdogs siku zote wanafanya kweliWatu wanatubeza mechi ya leo wanasahau tulicheza na Liver kama underdog tukamfunga tukaingia robo fainali, tukacheza na Leicester tukamfunga tukaingia nusu fainali.
Tuwe na imani na tuwaamini wachezaji wetu. Nyumbu anakufa leo 🔵🔵🔵
😅 😅 😅 😅Sisi watoto wa arteta tupo makini tunamfutilia mwali wetu wa kumuoa pale Wembley.