mart66
JF-Expert Member
- Nov 7, 2018
- 610
- 691
kikosi Cha Chelsea kwa mda huu bdo Kiko ovyo kuliko Man untd so sometimes ishu wachezaji wenyew kujitumaMazee kwanini tusimuazime Conte kwa Muda aje apange kikosi cha leo ..mimi naona kama Lampard atafeli aise..
Kina Cho wasaidia man untd wachezaji wenyew wanajitoa kwenye uchezaji





