Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea have earned 4 points from 8 games against teams with "United" in their name this season. Leeds United have just been promoted too.

This is gonna be fun, isn't it?
 
For the VAR conspiracy theorists.

Most VAR decisions in favour: Man United 10
Most net: Man United 8
Most disallowed for opposition: Man United 7
Most subjective in favour: Crystal Palace, Man United 6
Highest net goals: Man United +7
Highest net subjective score: Man United +5
 
Nimejaribu kufuatilia katika hizi game 3 tulizofungwa haijalishi ni mfumo gani utacheza ila ni perfomance ya mchezaji mmoja pia kuja kuunganisha timu nzima. Kwasababu katika mechi zote tulizocheza nao ni sisi ndio tunaongoza kwa possesion lakini tunafungwa maana yake ni kwamba wao wanajituma zaidi hasa wanapopata nafasi lakini pia ubutu wetu katika safu ya ushambuliaji.

Game ya kesho hatuhitaji kubaki nyuma tuseme tucheze kwa kushambulia kama tulivyocheza na Man City (hii ni case nyingine kwa sababu ya weakness yao siku ile). Twende mbele tukashambulie na kwa sababu ya ubora wa Pulisic na Giroud imani yangu kwa mchezo wa kushambulia zaidi tunapata magoli yakatupa ushindi ila swala la kutoruhusu goli I cant guarantee. Muhimu ni kupata goli la mapema halafu unabaki kuulinda.

4-3-3 ndio mfumo mzuri wa kushambulia then baadae ndio tunaweza switch kuja kwenye 3-4-3 kuulinda ushindi.
Normally mfumo mzuri ni ule unaoutilize resources za wachezaji waliopo. Mfano Alonso anakuwa mzuri kwenye 3-4-3 zaidi kwa sababu anacheza kama wing-back kuliko kwenye 4-3-3 kwa sababu anacheza kama LB na yeye sio mzuri kwenye kukaba
3-4-3 ni mfumo wa kujihami kwa sababu inakuwa na mabeki watano badala ya wanne na pia inakuwa na wing-backs wanaokaba na kushambulia kama winga. Kama tunataka kutomiliki mpira ambayo ndio strategy nzuri ili tuwafunge wa counter attack basi 3-4-3 haikwepeki. Kama tunataka kumiliki mpira na wao wapaki mabasi watatufunga hata 5-0 kwa sababu wana washambuliaji na viungo wazuri kwa counter attack.
Mimi napendekeza tusimiliki mpira ili tukabe na kuwashambulia kwa MOU style
 
LAMPARD alichosema ni kweli kabisa. Manyumbu kwa sasa mko form baraa, hii mechi chelsea tunaingia kama underdog kwa sababu ya madhaifu makubwa timu tuliyonayo kwa sasa (beki ovyo, ushambuliaji butu, viungo nyanya).

Sisi kuwafunga nyie inategemea na madudu mtakayofanya uwanjani, tutatumia makosa yenu kama fursa kwetu kuwaadhibu. Fursa moja wapo pia ni De gea
Kama walivyofanya ndugu zetu Arsenal kwa ndugu zao hao manyumbu
 
Kwanza umekosa like yangu sababu ya neno nyumbu, japo umeongea point

Pamoja na Chelsix kuonekana ni underdog kwenye mechi ya kesho lakini kuna mambo mengi sana bado hayapo dhahiri

Mfano Man Utd ambayo inazipa nafasi kubwa sana mbio za top 4, tarehe 13 wamecheza game ngumu na Sotton, ikafuata game nyingine ngumu ya Palace tarehe 16, halafu baada ya siku 3 baadae inakutana tena na Chelsea huku ikiwaza game yake muhimu sana ya Westham tarehe 22. Nimeongea hayo kukupa picha kwamba mechi zinafulizana sana, wachezaji wanachoka huku kila siku wakikutana na mechi ngumu.

Kwa upande wa Chelsea japo mechi hazijafululizana sana kama za Man Utd kabla ya mechi yao, lakini baada ya mechi ya United Chelsea ana kibarua kizito sana cha kwenye mbio za top 4. Baada ya kucheza na United, Chelsea atakutana na Liverpool moja kati ya mechi muhimu sana msimu huu kwake. Kwahiyo top 4 race ita determine vikosi vya kesho.

Nakukumbusha tu, Chelsea akipigwa na Liverpool, halafu United akishinda dhidi ya Westham na Leicester ashinde dhidi ya Spurs, mechi ya mwisho United na Leicester wanaweza kucheza kutafuta draw ili waingie top 4. Ili hiyo draw isiwasaidie Utd na Leicester, Chelsea anapaswa kuifunga Wolves goli 15 - 0

Kutokana na hali hiyo niliyoielezea hapo juu, sitashangaa kuona Utd na Chelsea wakichezesha wachezaji wa kikosi cha pili ili kujiimarisha zaidi kwenye top 4 race.

Endapo kocha mmoja hatajali mambo ya top 4 race na mwingine akijali, yule anayejali zaidi anaweza kupoteza mechi ya kesho.
Mechi ya Liverpool ni lazima tushinde
Sababu kuu za kushinda
  1. Liverpool hawana cha kushindania
  2. Wachezaji hawana morale ukimuondoa Salah kwa sababu hiyo hiyo ya kwanza
  3. Watakuwa wanawaza zaidi pilau, nyama na soda za kusheherekea ubingwa wao ambako watakabidhiwa kombe hapo hapo uwanjani baada ya mechi na Chelsea
Tukishinda hiyo mechi tutakuwa tumewachonganisha LFC na Man U watumbuane mpaka kieleweke
Kumbuka pia kuwa MOU ni lazima amfunge LFC kwa sababu ya Europa, wasipofanya hivyo Shefield United watampita hapo
 
Takataka imeandika takataka
 
Normally mfumo mzuri ni ule unaoutilize resources za wachezaji waliopo. Mfano Alonso anakuwa mzuri kwenye 3-4-3 zaidi kwa sababu anacheza kama wing-back kuliko kwenye 4-3-3 kwa sababu anacheza kama LB na yeye sio mzuri kwenye kukaba
3-4-3 ni mfumo wa kujihami kwa sababu inakuwa na mabeki watano badala ya wanne na pia inakuwa na wing-backs wanaokaba na kushambulia kama winga. Kama tunataka kutomiliki mpira ambayo ndio strategy nzuri ili tuwafunge wa counter attack basi 3-4-3 haikwepeki. Kama tunataka kumiliki mpira na wao wapaki mabasi watatufunga hata 5-0 kwa sababu wana washambuliaji na viungo wazuri kwa counter attack.
Mimi napendekeza tusimiliki mpira ili tukabe na kuwashambulia kwa MOU style
Huna hujualo wew kaa kimya
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom