Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Lampard hajawahi kumbania Kova, labda pengine hujafatilia kwa makini Kova asipocheza ujue majeruhi akianza benchi ujue bado hana match fitness ndio maana maranyingi nafasi yake anachukua BarkleyKovacic ni mchezaji mzuri sanaaa mi huwa namshangaa lampard anavyombania