Huu upande ambao goli limetokea una madhaifu mengi mno. Willian na Azpi wanatumia experience zao. Safi sanaAsante sana Willian Azpi na Giroud mnakuwa mfano mzuri kwa vijana
Willian+Azpi cross+ Giroud clinical touch = Goal
Umesema kweli kaweka cha piliMOUNT aendelee kucheza anafanya kazi nzuri sana ya kukabia juu.
Sisi watoto wa arteta tupo makini tunamfutilia mwali wetu wa kumuoa pale Wembley.Woyooooh'
La pili...!
Mwanangu hawa watu wanajituma sana leo. Safi mnooooooLAMPARD asifanye makosa kwenye kufanya SUB.
Abraham, LFC wasiingie hapo
Kwendaaa 😆😆Mjiandae kisaikolojia fainali lakini.
Mmesikia nyie gari la mkaa
Zinakuja tena 4 mjipangeSisi watoto wa arteta tupo makini tunamfutilia mwali wetu wa kumuoa pale Wembley.