OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,960
- 25,312
KabisaaaaHatumalizagi msimu bila kombe lolote. Maisha hayo hatujazoea.
KabisaaaaHatumalizagi msimu bila kombe lolote. Maisha hayo hatujazoea.
Hapo ulipo nazani unajua ukweli SEMA tu unajipa moyo na Chelsea kawaida hamalizi msimu bila kupata kombe.Kupata vichekesho kama hivi unabonyeza ngapi?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yule teja anajiita Gpili mara mwisho kuonekana ni masaa matatu yalopita alionekana anachukua kitoko walau kwenda kujituliza na lolote litakalotokea.
Mbona game zote mbili huyo auba ameshindwa kuscore? Chelsea Ni chuma Cha pua mzeeWewe mimi nina forward wa dunia Aubameyang, alafu uniwekee beki mzoga km Ruediger. unatafuta shida wewe[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
Arsenal bhana😂, mnapata wapi ujasiri wa kuongea kwanini msisubiri fainali kwanza ichezwe!?, Kumbuka ile ni Derby, usitegemee kushinda kiraahisi sanaaa, kumbuka Chelsea siyo city ya kupigiwa counter attacks, otherwise matokeo ya BAKU yatajirudia tusisahau hilo, arsenal hamjawa form namna hiyoo Hadi kutishia amani kwa Chelsea.Hili kombe nachukua dk ya 30 tu, vibonde nyie tunajipigia mapema sn.
Mnyama Lacazette karudi form, huku nina Nico Pepe, Kule foward kali duniani Auba, nani wakutuzuia Utopolo nyie.Mlishindwa tukiwa nusu na watoto kina Martinelli mtaweza full mkoko.
Sa hii anamalizia kuvuta bangi ili arudi hapa na kashfa kibaoYule teja anajiita Gpili mara mwisho kuonekana ni masaa matatu yalopita alionekana anachukua kitoko walau kwenda kujituliza na lolote litakalotokea.
Naipenda Chelsea ikiingia kwenye mechi kama underdog kwa sababu itacheza vizuriArsenal bhana😂, mnapata wapi ujasiri wa kuongea kwanini msisubiri fainali kwanza ichezwe!?, Kumbuka ile ni Derby, usitegemee kushinda kiraahisi sanaaa, kumbuka Chelsea siyo city ya kupigiwa counter attacks, otherwise matokeo ya BAKU yatajirudia tusisahau hilo, arsenal hamjawa form namna hiyoo Hadi kutishia amani kwa Chelsea.
Wembley here we come, hala Chelsea 💪
Ni kweli kabisa hata mimi huwa nafarijika sana, Wadada wengi wamejazana kule Man United na wachache Arsenal. Mpaka siku moja mwaka juzi kwenye kombe l;a Dunia mmoja akaniuliza kama Arsenal nao wanashiriki kombe la dunia??Huwa nafurahi sana kuona wakina dada wanashabikia timu kama Chelsea..naona ni wanawake wenye busara sana[emoji846][emoji846][emoji846]
Anaitwa Big G PilipiliYule teja anajiita Gpili mara mwisho kuonekana ni masaa matatu yalopita alionekana anachukua kitoko walau kwenda kujituliza na lolote litakalotokea.
Ni kweli kabisa hata mimi huwa nafarijika sana, Wadada wengi wamejazana kule Man United na wachache Arsenal. Mpaka siku moja mwaka juzi kwenye kombe l;a Dunia mmoja akaniuliza kama Arsenal nao wanashiriki kombe la dunia??
Hata Mimi huwa najisikia furaha aisee, actually huwa najisikia kuwa wako sehemu salama😂😂Huwa nafurahi sana kuona wakina dada wanashabikia timu kama Chelsea..naona ni wanawake wenye busara sana[emoji846][emoji846][emoji846]
Muowaji kaolewa,Poleni sana Nyumbu united VARchester.Sisi watoto wa arteta tupo makini tunamfutilia mwali wetu wa kumuoa pale Wembley.
Wewe kwetu huwa laini laini ya Mombasa,mlituotea tulivokuwa na yule bwege muhindi kule Baku,ngoja tuwashike mdebwedo, round hii First half tu game imeisha.Arsenal bhana[emoji23], mnapata wapi ujasiri wa kuongea kwanini msisubiri fainali kwanza ichezwe!?, Kumbuka ile ni Derby, usitegemee kushinda kiraahisi sanaaa, kumbuka Chelsea siyo city ya kupigiwa counter attacks, otherwise matokeo ya BAKU yatajirudia tusisahau hilo, arsenal hamjawa form namna hiyoo Hadi kutishia amani kwa Chelsea.
Wembley here we come, hala Chelsea [emoji123]
Fuatilia mpira ,usipende kusimuliwaMbona game zote mbili huyo auba ameshindwa kuscore? Chelsea Ni chuma Cha pua mzee
jiandae, mmemuonea mjane yule mnakutana na kidume wenu [emoji3][emoji3][emoji3]Alisikika mlevi mmoja..
Hata aibu hauna mkuu kwenye ligi upo nafasi ya 10 halafu utaongea Nini na wewe kwangu, arsenal wewe ni kama Norwich tu, we kwangu hauna lolote, eti nilikuotea wewe unaweza pigwa nne halafu unasema nilikuotea kweli!?, hebu kuwa na aibu arsenal ni ile ile tu haijbadilika popote. Ngoja upepo wa kisulisuli uje nikupige nyingi Sana.Wewe kwetu huwa laini laini ya Mombasa,mlituotea tulivokuwa na yule bwege muhindi kule Baku,ngoja tuwashike mdebwedo, round hii First half tu game imeisha.