lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,696
- 25,911
Tatizo la Chelsea sio striker
timu zote zinazofunga magoli mengi utakuta striker, wingas na attacking midfields wanafunga kwa kushindana
waangalie Liverpool na mancity
Tusimtishe mzigo mkubwaTammy
Man city
Aguero striker ana magoli 10
Stearling winga 11
De bruyne MF 7
Gabriel jesus goli 6
jumla 34
Liverpool
Sadio Mane winga 10
MO Salah winga/striker 9
Firmino 6
Jumla 25
Ukija Chelsea ni Tam,my tu ana 12
Wanaofuata
Mount 5 na
Willian 4
Jumla goli 21
Kwa hiyo tunatakiwa kusajili zaidi wingas na midfield aina ya akina lampard wa kutupa double dijit kwenye magoli na assists