OllaChuga Oc
JF-Expert Member
- Jul 4, 2016
- 21,932
- 25,245
Apa naona ushindi mwanzo mwisho ..sioni wa kutuzuia apo..NEXT
- Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
- West Ham 30/11 - HOME
- Aston Villa 4/12 - HOME
- Everton 7/12 - AWAY
- Lile - UEFA 10/12 - HOME
- Bournemouth 14/12 - HOME
- Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
- Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
- Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
Kila la kheri Chelsea


