Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Alafu mashabiki hawa mandazi wa Chelsea wako humu tu ndan huku mtaan mashabiki wa Chelsea kwanza hata wanashangaa tumefikaje top 4 yaan hawaaminiSasa humu unakutana na mashabiki wavimba macho tukipoteza tu mechi moja wanahamishia lawama kwa Abraham, sijui lampard siyo na bra bra kibao
Ndugu usiwaite mandazi. hao sio mashabiki, wengine hapo ni Manure, arseanal wanachofanya wanajificha na kuficha aibu ya timu zao kupata matokeo hasi back 2 back
 
Conte, allegri, na wengine wa calibre hiyo
Itazame Inter milan ya kabla ya conte halafu itazame ya sasa yenye conte

Kuna kocha akifika tu, timu inaanza kuogopwa.
Conte kocha mzuri ila hajui kuwamanage wachezaji, Lampard kampita Conte mbali sana kwenye hilo. Kwanza Conte mzoefu na Lampard mgeni na kashapata matokeo na kuwazidi wazoefu wengi tu
Inter inafanya vizuri kwa sababu imesajili wachezaji wazuri wapya
  1. Diego Godín CB
  2. Lorenzo Pirola CB
  3. Cristiano Biraghi LB / LWB
  4. Stefano Sensi DM/ CM
  5. Valentino Lazaro RM / RWB / RB / RW
  6. Nicolò Barella CM
  7. Lucien Agoumé CM / AM
  8. Alexis Sánchez ST / SS / LW / RW / AM
  9. Romelu Lukaku ST
  10. Matteo Politano RW / LW / SS
  11. Sebastiano Esposito ST
Mfano mbele mchezaji aliyesajiliwa 2018 ni Lautaro Martínez, wengine wote (no 8-11) walisajiliwa 2019
So unapochangia technical things ufanye research kwanza
Mfano mwingine mwangalie mfungaji wao mkuu Lukaku ambaye pia ni wa pili kwa Serie A
Mwangalie beki kama Diego Godin kisiki cha Atletico Madrid na bado anaendeleza ubora wake Inter
Waangalie akina Nicolo Barela na wengineo walivyo leta transformation inter
Kwa hiyo ubora wa Inter sio kocha tu!!!!!!!!!!!!!
 
NEXT
  1. Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
  2. West Ham 30/11 - HOME
  3. Aston Villa 4/12 - HOME
  4. Everton 7/12 - AWAY
  5. Lile - UEFA 10/12 - HOME
  6. Bournemouth 14/12 - HOME
  7. Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
  8. Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
  9. Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
 
NEXT
  1. Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY

Hivi kwanini tunaanza kucheza na Soton kabla ya Arsenal. Wakati hiyo match ya Soton ni second round halafu arsenal ni first round?
 
Hawa mamluki ni kama panya, akija paka wakisikia harufu tu watafyata na kupotea. We subiri turudi kwenye winning way uone kama atakuwepo mtu hapa

Hivi Mkuu unaonaje wewe (Chelsea), Malafyale (Liverpool) na Daud1990 (Manure) mukaanzisha Jukwaa lenu watu Watatu tu Mukapost wenyewe na kujichangia wenyewe bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote?

Coz nyinyi watatu kila anayetofautiaba mawazo na nyinyi ni Fake au Mamluki.

Wewe unaita watu Mamluki kwasababu wametofautiana mawazo na wewe

Malafyale anatwita sisi Fake kwasababu tumetofautiana naye mawazo dhidi ya Henderson

Daud1990 anawita wenzake wa Manchester ni Mamluki wa Mourinho kwasababu wametofautiana naye mawazo dhidi ya OGS.
 
NEXT
  1. Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY
  2. West Ham 30/11 - HOME
  3. Aston Villa 4/12 - HOME
  4. Everton 7/12 - AWAY
  5. Lile - UEFA 10/12 - HOME
  6. Bournemouth 14/12 - HOME
  7. Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
  8. Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
  9. Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana

Umfunge Arsenal Emirate?? Safari njema.

CC: DullyJr
 
Hivi Mkuu unaonaje wewe (Chelsea), Malafyale (Liverpool) na Daud1990 (Manure) mukaanzisha Jukwaa lenu watu Watatu tu Mukapost wenyewe na kujichangia wenyewe bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote?

Coz nyinyi watatu kila anayetofautiaba mawazo na nyinyi ni Fake au Mamluki.

Wewe unaita watu Mamluki kwasababu wametofautiana mawazo na wewe

Malafyale anatwita sisi Fake kwasababu tumetofautiana naye mawazo dhidi ya Henderson

Daud1990 anawita wenzake wa Manchester ni Mamluki wa Mourinho kwasababu wametofautiana naye mawazo dhidi ya OGS.
Wewe hujaelewa kitu, kuna mashabiki humu wanajifanya Chelsea huku wakiishambulia timu na mashabiki halali wa Chelsea
 
Hivi Mkuu unaonaje wewe (Chelsea), Malafyale (Liverpool) na Daud1990 (Manure) mukaanzisha Jukwaa lenu watu Watatu tu Mukapost wenyewe na kujichangia wenyewe bila ya kuingiliwa na Mtu yeyote?

Coz nyinyi watatu kila anayetofautiaba mawazo na nyinyi ni Fake au Mamluki.

Wewe unaita watu Mamluki kwasababu wametofautiana mawazo na wewe

Malafyale anatwita sisi Fake kwasababu tumetofautiana naye mawazo dhidi ya Henderson

Daud1990 anawita wenzake wa Manchester ni Mamluki wa Mourinho kwasababu wametofautiana naye mawazo dhidi ya OGS.
Na wewe unawaitaje hao uliotofautiana nao, plastic fans, ukiunda huo uzi na wewe lazima uwepo
 
NEXT
  1. Valencia - UEFA - 2/11 - AWAY correction 27/11
  2. West Ham 30/11 - HOME
  3. Aston Villa 4/12 - HOME
  4. Everton 7/12 - AWAY
  5. Lile - UEFA 10/12 - HOME
  6. Bournemouth 14/12 - HOME
  7. Tottenham 22/12 - AWAY - Krisimasi ngumu hapa
  8. Southampton 26/12 - HOME- hapa tutakula mwaka mpya vizuri
  9. Arsenal 29/12 - AWAY - hapa tutakula nyama choma na ugali murua na mwaka mpya utaenda vizuri sana
Kwenye hizi mechi lazima Pellegrini, Silva na Unai wafukuzwe kazi
 
Kweli kabisa Mkuu

Ukisema cha nini wenzako wanasema watakipata lini.

Unadhani Man u na Arsenal wanafurahi mienendo mibovu ya timu zao? Ili hali wamefanya usajili?

Chelsea tupo vizuri sana, naungana na wadau waliotangulia kwamba kwa kupigwa ban ya usajili, kuondokewa na hazard hatukutegemea mpaka sasa tungekuwa top 4.

Mashabiki tunamshukuru sana Lampard ni bonge la kocha yote aliyotufanyia mpaka sasa tuna deni kubwa sana kwake la kuzidi kumpa support.

Hatuhitaji kocha mwingine kwa sasa, Lampard ndio mkombozi wetu kwa sasa, anazidi kujenga na kuimarisha kikosi. Ban ya usajili ikiisha atasajili kimkakati kikosi kitakuwa moto zaidi.

Ni matokeo gani mazuri zaidi ya haya ya sasa tunataka?

Tuweni na shukrani.
Yes
kuna mwingine kasema hana plan B, huyo hajafuatilia Chelsea Enzi za Sarri
Usajili ukifanyika naamini Lampard ni very strategic, ataleta wachezaji wa kubadilisha kabisa mwelekeo wa timu na naamini pia body itampa uhuru kama Enzi za MOU
 
Frank Lampard Comment Man City VS Chelsea
"Big parts of the performance were good, but there are bits we can improve on. It was a tough game, it felt like we went toe-to-toe in the main, and a moment of quality from Mahrez and a deflection for the first goal feels like the difference to me

"There was a lot of detail in the game, but there were a number of times when we got into their third in either half but didn't have that little bit of quality which we can have. Games like this can be won or lost in the boxes, and that happened."

Kiswahili
Kwa sehemu kubwa uchezaji ulikuwa ni mzuri lakini kulikuwa na maeneo madogo yanayoweza kuboreshwa. Ilionekana kwamba tulikuwa nguvu sawa na ubora wa Mahrez na mpira wa kubabatizwa kwa goli la kwanza ndio iliyoweka tofauti.
Kuna mambo mengi ya mchezo lakini kuna nyakati nyingi tuliingia ndani ya eneo lao la hatari lakini hatukuwa na ubora uliotakiwa. Mechi kama hizi unaweza kushinda au kupoteza kwenye eneo la hatari na ndivyo ilivyotokea.
 
Na wewe unawaitaje hao uliotofautiana nao, plastic fans, ukiunda huo uzi na wewe lazima uwepo

Mimi sinakawaida ya kumkejeli mshabiki mwenzangu wa Liverpool Kuwa kuwaita majina ya kiajabuajabu kama Plastic Fans, Fake au Mamluki.

Kaangalia kwenye comments zangu
 
Conte kocha mzuri ila hajui kuwamanage wachezaji, Lampard kampita Conte mbali sana kwenye hilo. Kwanza Conte mzoefu na Lampard mgeni na kashapata matokeo na kuwazidi wazoefu wengi tu
Inter inafanya vizuri kwa sababu imesajili wachezaji wazuri wapya
  1. Diego Godín CB
  2. Lorenzo Pirola CB
  3. Cristiano Biraghi LB / LWB
  4. Stefano Sensi DM/ CM
  5. Valentino Lazaro RM / RWB / RB / RW
  6. Nicolò Barella CM
  7. Lucien Agoumé CM / AM
  8. Alexis Sánchez ST / SS / LW / RW / AM
  9. Romelu Lukaku ST
  10. Matteo Politano RW / LW / SS
  11. Sebastiano Esposito ST
Mfano mbele mchezaji aliyesajiliwa 2018 ni Lautaro Martínez, wengine wote (no 8-11) walisajiliwa 2019
So unapochangia technical things ufanye research kwanza
Mfano mwingine mwangalie mfungaji wao mkuu Lukaku ambaye pia ni wa pili kwa Serie A
Mwangalie beki kama Diego Godin kisiki cha Atletico Madrid na bado anaendeleza ubora wake Inter
Waangalie akina Nicolo Barela na wengineo walivyo leta transformation inter
Kwa hiyo ubora wa Inter sio kocha tu!!!!!!!!!!!!!
Kweli buraza..
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom