Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Hesabu za decade hazipo hivo. Mfano hii decade tuliyopo sasa hivi ni 2010's decade maana yake ni kwamba hii decade imeanza 1st January 2010 na inaisha leo 31st December 2019 na siyo 2009's decade.

Kwani wewe kwenye mwaka wako wa kuzaliwa unaanza kuhesabu kwenye mwaka uliozaliwa au unaofuataUkitaka kuhesabu kwenye miaka husianze na mwaka huo anzia na mwaka unafuata

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wanavyosema kikosi cha decade ni miaka 10. Ina maana ni wachezaji waliokuwa bora ndani ya hiyo miaka 10 (2009-2019). Hata kama aliwasha moto mwaka 1?

Najaribu kufikiria ivanovic vs Azipuleta ndani ya hiyo miaka 10 nani alikuwa bora sana.

Kuna walioachwa kikosini

Fabrigas
Balack
Juan Mata



Sent using Jamii Forums mobile app
Hao wote hawakukaa sana labda Balack
 
Inanovic katika peak yake amefanya mambo makubwa kuliko kuliko Azplicueta akiwa katika peak....

Sent using Jamii Forums mobile app
Namna rahisi ya kujua mchezaji anayeweza kuinghia kwenye team of the decade kwa maana ya 2010-2019 ni kwanza kuchunguza team ya 2012 iliyochukua UEFA halafu timu iliyochukua EPL 2014 na 2017. Pia na wale walioshiriki kuchukua EUROPA zotre mbili. Wale waliotokeza kuwa wachezaji bora kwa kujirudia rudia ndio priority point
2012 final kuna wachezaji saba
  1. Petr Cech
  2. Branislav Ivanovic
  3. John Terry - hata kama hajacheza kwa sababu alishirikli kikamilifu mechi za nyuma
  4. Garry Carhill
  5. Ashley Cole
  6. Frank Lampard
  7. Didier Drogba
EPL ya 2014
Aliongezeka Eden Hazard
EPL 2017
Willian kwa sababu alikuwepo pia 2014
EUROPA
2018
Fabrigas alikuwepo 2014 EPL na 2017 EPL na EUROPA ya 2018

Kwa hiyo Timu ya DECADE inastahili kuwa
  1. Petr Cech
  2. Branislav Ivanovic
  3. John Terry
  4. Garry Carhill
  5. Ashley Cole
  6. Ngholo Kante
  7. Cesc Fàbregas/Essien
  8. Frank Lampard
  9. Eden Hazard
  10. Didier Drogba
  11. Willian Borges
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom