Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Chelsea FC (The Blues) | Special Thread

Ila wadau tunahitaji mabeki warefu, mipira ya free kick na kona tunafungwa sana.

Sasa sijui ni ufupi wa Alonso, Emason Na tomori au tatizo ni poor marking? Kwa sababu Zouma na Rudger ni warefu.

Sent using Jamii Forums mobile app
Chelsea hatuwezi cheza mipira ya juu saiv. Me sijui wanaosajili wanaangalia nini. Hata kwenye kufunga ni hivohivo.

Miaka ya zamani unakuta kuna Terry Ivanovic na Drogba. Ilikuwa zikipigwa kona hata 3 tu manakaa standby maana lolote linaweza kutokea.

Saiv tumekuwa wadwanzi.

Hamna goals za vichwa wala mashuti ya mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Kwani wanajua Kiswahili?
Hello Daemusin
Haya maoni niliyaleta kwa mfumo wa maoni kwa maana kwamba nina elimu ndogo kwenye kujua uhalisia wa kutengeneza nafasi (creating chances) hasa ina maana gani. Nikipata uelewa mkubwa zaidi nitaboresha mchango wangu. Lakini kwa sasa bado naamini kuwa mshika dau mkubwa kwenye kutengeneza nafasi ni yule aliyeko mbele, huyu wa nyuma ni mdau mdogo kwa sababu process nzima ya kutengeneza nafsi ni mawasiliano ya watu wawili au watatu au saa nyingine wane ili move ya kufunga goli ifanikiwe lazima mmoja aanze kutengenza box, process ikaendelea kwa mfumo huo. Kwa hiyo kuna mawasiliano ambayo ni element kubwa kwenye kutengeneza nafasi. Mimi sio mtaalamu wa mpira uzoefu ni kwa kuangalia na kufuatilia tu. Kuna waliosomea humu labda wao wakiona haya mazungumzo wataboresha
 
Chelsea hatuwezi cheza mipira ya juu saiv. Me sijui wanaosajili wanaangalia nini. Hata kwenye kufunga ni hivohivo.

Miaka ya zamani unakuta kuna Terry Ivanovic na Drogba. Ilikuwa zikipigwa kona hata 3 tu manakaa standby maana lolote linaweza kutokea.

Saiv tumekuwa wadwanzi.

Hamna goals za vichwa wala mashuti ya mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
Carvalho,ivanovic walikuwa wafupi but stil mipira ya juu walikuwa wanaweza kucheza

Saiz wachezaj wet ni wazembe kwenye mipira ya juu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Messi ni level nyingine hapa duniani. Usimfananishe na wachezaji wengine. Itaichukua dunia hata miaka 20 kuja kumpata Messi mwingine

Sent using Jamii Forums mobile app
Haikuchukua hata miaka mitatu Maradona kutokea baada ya Pele kutundika daluga
Ilichukua miaka 10 Messi kutokea baada ya Maradona, Kuna kila dalili kuwa muda wowote messi mwingine atatokea kwa sababu aliyemleta Messi Duniani ni Mungu na huyo huyo Mungu atawaleta akina Mesi wengine muda sio mrefu
 
Wako Messi wangapi kwenye dunia hii leo ambao bado wanacheza mpira? Kuna vitu ni nadra sana kutokea
Haikuchukua hata miaka mitatu Maradona kutokea baada ya Pele kutundika daluga
Ilichukua miaka 10 Messi kutokea baada ya Maradona, Kuna kila dalili kuwa muda wowote messi mwingine atatokea kwa sababu aliyemleta Messi Duniani ni Mungu na huyo huyo Mungu atawaleta akina Mesi wengine muda sio mrefu

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampardna waingereza yaani anachosha hivi anachompendea Abraham ni nini mtu mwepesi kama buu la muhindi,halafu Hana kikosi cha kwanza mpaka leo ,hivi raundi inaisha hajui Nani anafaa kuwa kwenye chaguo la kwanza yaani anahisi ligi ya EPL ni ya ukikaribia!akitaka timu ifanye vizuri inabidi achanganye vijana na wazee wenye uzoefu sasa kila mechi unaona watu watatu wapya ,hivi kwa mfano anasababu Gani ya kumweka Alonzo benchi!Mimi kwa maoni yangu lampard bado hawezi kumudu kufundisha timu kubwa kama Chelsea mwezi wa pili tuna mechi na bayernmunich hivi tutachomoka kweli kwa mbinu hizi za ufundishaji maana mechi ya Jana asernal walitushika tukashikika kiufundi tulikwama sana.
 
Lakini tuliwafunga, nayo comeback ni ufundi
Hao waingereza unaowasema ndio walioifanmya Chelsea iwe kwenye top 4 mpaka sasa hata baada ya kufungiwa kusajili. Nadiriki kusema wewe labda sio Chelsea unatusanifu tu hapa. Kama ni Chelsea fan unge appreciate hata kazi aliyoifanya kocha, anayo madhaifu kama ambavyo kila kocha anayo na hiyo haitoshi kumfanya yeye kocha mbovu
Hata aje malaika kuifundisha Chelsea haitapata matokeo kimiujiza inayozidi quality ya wachezaji waliopo. Bayern Munich wakitufunga hiyo sio ngeni kwa sababu wao ni bora kuliko sisi, tukisajili vizuri tutaweza kuwadhibiti na kuwatoa mbona finali za 2012 tuliwatoa na bado walikuwa na timu bora kabisa?
 
Chelsea hatuwezi cheza mipira ya juu saiv. Me sijui wanaosajili wanaangalia nini. Hata kwenye kufunga ni hivohivo.

Miaka ya zamani unakuta kuna Terry Ivanovic na Drogba. Ilikuwa zikipigwa kona hata 3 tu manakaa standby maana lolote linaweza kutokea.

Saiv tumekuwa wadwanzi.

Hamna goals za vichwa wala mashuti ya mbali...

Sent using Jamii Forums mobile app
Mchezo wampira nisanaa,usishangae lampard pamoja alizecha mpira unaodai leo hautumii kama kocha

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampardna waingereza yaani anachosha hivi anachompendea Abraham ni nini mtu mwepesi kama buu la muhindi,halafu Hana kikosi cha kwanza mpaka leo ,hivi raundi inaisha hajui Nani anafaa kuwa kwenye chaguo la kwanza yaani anahisi ligi ya EPL ni ya ukikaribia!akitaka timu ifanye vizuri inabidi achanganye vijana na wazee wenye uzoefu sasa kila mechi unaona watu watatu wapya ,hivi kwa mfano anasababu Gani ya kumweka Alonzo benchi!Mimi kwa maoni yangu lampard bado hawezi kumudu kufundisha timu kubwa kama Chelsea mwezi wa pili tuna mechi na bayernmunich hivi tutachomoka kweli kwa mbinu hizi za ufundishaji maana mechi ya Jana asernal walitushika tukashikika kiufundi tulikwama sana.
Wewe ni shabiki maandazi. Kwamba Alonso ni majeruhi huelewi kabisa.

Haya ulitaka striker gani acheze? Giroud majeruhi. Je ulitaka Batshuay aanze badala ya Tammy?

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Sijui mwenzetu ulikuwa unaangalia wapi match. Arsenal walitushika wapi kwa mfano?
Lampardna waingereza yaani anachosha hivi anachompendea Abraham ni nini mtu mwepesi kama buu la muhindi,halafu Hana kikosi cha kwanza mpaka leo ,hivi raundi inaisha hajui Nani anafaa kuwa kwenye chaguo la kwanza yaani anahisi ligi ya EPL ni ya ukikaribia!akitaka timu ifanye vizuri inabidi achanganye vijana na wazee wenye uzoefu sasa kila mechi unaona watu watatu wapya ,hivi kwa mfano anasababu Gani ya kumweka Alonzo benchi!Mimi kwa maoni yangu lampard bado hawezi kumudu kufundisha timu kubwa kama Chelsea mwezi wa pili tuna mechi na bayernmunich hivi tutachomoka kweli kwa mbinu hizi za ufundishaji maana mechi ya Jana asernal walitushika tukashikika kiufundi tulikwama sana.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Lampard: "That was my question to Jody, are you sure Lamptey can handle this moment in this game, which is a tough moment?”

“And Jody was like 'yeah, course he can, he's that kind of lad and he'll make something happen'...he helped change the game."

FB_IMG_1577739020151.jpeg

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Walikoshindwa akina Tiemoue Bakayoko, Davide Zappacosta, Alvaro Morata and Danny Drinkwater
akina Tammy Abraham, Mason Mount, Fikayo Tomori na Reece James wameweza
Safari hii hao akina Marina wasiruhusiwe kwenda sokoni kutuletea akina Bakayoko na drinkwater
Lampard ndie ahusishwe kushauri, wao wanegotiate tu!
 
Lampardna waingereza yaani anachosha hivi anachompendea Abraham ni nini mtu mwepesi kama buu la muhindi,halafu Hana kikosi cha kwanza mpaka leo ,hivi raundi inaisha hajui Nani anafaa kuwa kwenye chaguo la kwanza yaani anahisi ligi ya EPL ni ya ukikaribia!akitaka timu ifanye vizuri inabidi achanganye vijana na wazee wenye uzoefu sasa kila mechi unaona watu watatu wapya ,hivi kwa mfano anasababu Gani ya kumweka Alonzo benchi!Mimi kwa maoni yangu lampard bado hawezi kumudu kufundisha timu kubwa kama Chelsea mwezi wa pili tuna mechi na bayernmunich hivi tutachomoka kweli kwa mbinu hizi za ufundishaji maana mechi ya Jana asernal walitushika tukashikika kiufundi tulikwama sana.
Hivi unaelewa wanaposema timu inajengwa, unadhani ujenzi ni kitendo cha siku moja? Ujenzi ni plans, ujenzi ni progress and process ujenzi unachukua mwaka na kuendelea. Lampard ndio kwanza kamaliza nusu ya msimu halafu unataka awe na kikosi cha kwanza maalumu, how comes? Unaona kila leo anakuja na wachezaji wapya yote ni katika kuunda kikosi kipana na cha muda mrefu. Katika process za ujenzi kuna muda unafika baadhi ya resource zinakua scarce inabidi uvute subira huku mambo mengine yakiendelea same to Lamps amechukua timu hajafanya usajili, tumepoteza mchezaji muhimu kwenye timu halafu unataka mambo yaende sawasawa kweli?

Nataka nikukumbushe wewe na wengine wanaojisahau. Wakati msimu unaanza tulisema hapa tutegemee maajabu kwa maana ya timu kuyumba lakini mpk tunaingia mwaka mpya timu inashika nafasi ya nne nyie hamuon kam ni neema hiyo? Kabla hujaongea fikiri zaidi.

Halafu we jamaa hufuatilii timu yako vizuri unalalamika Alonso hakuanza na wakati hata benchi hakuwepo yote sababu ya mejaraha aliyopata game ya Spurs.

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom