Southern Highland
JF-Expert Member
- Mar 22, 2017
- 16,025
- 27,365
Lampad at the wheelSisi Chelsea tumeupiga mwingi sana leo,Odoi anasepa na kijiji kama Neymar,acha kabisa..Lampard aongezewe mkataba
Naongelea EPL mzee unajitoa ufahamu. Usiweke labdaLabda FA watupangie hiyo Match siku ambayo tunacheza CL kama walivyotupangia mechi ya Carabao na Aston Villa siku tuliyokuwa tunajiandaa kucheza Club World Cup.
Acheni masihara wakuu hii midude inaruhusiwa!! Kwani VAR wanasemaje !? Mana mibao ya hivi ni sehemu ya ukatili. Poleni sana Chelsea wangekuwa wenzenu Liverpool wamepigwa mgoli Wa hivi VAR ingegoma kwa huu ukatiliJamani kwema umu ndani
Heri ya mwaka mpya
Lampad bonge la kochaView attachment 1309472
Sent using Jamii Forums mobile app
Jokr of 2020Acheni masihara wakuu hii midude inaruhusiwa!! Kwani VAR wanasemaje !? Mana mibao ya hivi ni sehemu ya ukatili. Poleni sana Chelsea wangekuwa wenzenu Liverpool wamepigwa mgoli Wa hivi VAR ingegoma kwa huu ukatili
kwakwel hii sub ckuifirahia kabisa kabugi sanaUyo Lampard amekua ndezi sana,, huyu ni small team coach
ivi kwani kuna haja ya kufanya substitution timu ikiwa inacheza vizuri,
Uyu odoi alimtetea kua ametoka majeruhi makubwa that is why anashindwa ku"perform...
Sasa kuna haja gani ya kumchezesha mechi ambazo zina pressure...
Unaongoza goli moja,, timu yakl imeweza ku"handle pressure ya mechi vizuri tuu,, then unafanya substitution ya kipumbavu kabisa..
Poor decision by Lampard
Sent using Jamii Forums mobile app
Alafu wewe achaga mapenzi ya hovyohovyo....first half Arsenal walikamata na kina kante walipoteana mazima ila 2nd half mukarudi vizuri....
Kwanza hiyo game ishapita vipi huko Brighton nasikia mumekimbia chupi mkononi....
Sent using Jamii Forums mobile app
Halafu hiyo arsenal yako haina tofauti na timu gani?Yaani hawa na Wolversampton hawana tofauti kabisa kihadhi .....vyote ni vitimu vidogo vinavyotafuta umaarufu...
Sent using Jamii Forums mobile app
Dah nakumbuka hii game ..raund ya pili nilikuwa tough sana ..game ikaisha 4-4 ..Sorru nmechangnya mwaka... ilikuwa 2009... Ile match liver alikula 3-1 anfield. Ivanovic alitia goal 2 na wengi ndo walianza kumjua pale...
Sent using Jamii Forums mobile app
Fabregas aliendana sana na akina Diego CostaKovacic sio FABRIGAS
Pulusic sio FABRIGAS
Odoi sio FABRIGAS
Chelsea anatakiwa aje mchezaji aina ya Fabrigas aturahisishie mpira.
Sent using Jamii Forums mobile app
Tatizo la Chelsea sio striker
timu zote zinazofunga magoli mengi utakuta striker, wingas na attacking midfields wanafunga kwa kushindana
waangalie Liverpool na mancity
Tusimtishe mzigo mkubwaTammy
Man city
Aguero striker ana magoli 10
Stearling winga 11
De bruyne MF 7
Gabriel jesus goli 6
jumla 34
Liverpool
Sadio Mane winga 10
MO Salah winga/striker 9
Firmino 6
Jumla 25
Ukija Chelsea ni Tam,my tu ana 12
Wanaofuata
Mount 5 na
Willian 4
Jumla goli 21
Kwa hiyo tunatakiwa kusajili zaidi wingas na midfield aina ya akina lampard wa kutupa double dijit kwenye magoli na assists
Kumbe wewe ni mpenzi wa Chelsea Kama me naona kwenye mpira tunaenda sawa ukufanya makosa kushabikia Chelsea timu yenye mafanikio.Happy New Year 2020 for Chelsea and Chelsea Fans all over the World
1st goal. AzpiView attachment 1309364
Siku ya jana vitimu vidogo dogo vyote vimeshinda. Midtable teams zimewakazia wakubwa zao.Yaani hawa na Wolversampton hawana tofauti kabisa kihadhi .....vyote ni vitimu vidogo vinavyotafuta umaarufu...
Sent using Jamii Forums mobile app