lembu
JF-Expert Member
- Dec 31, 2009
- 19,700
- 25,935
2009/2010 ni sawa na 2010Kuna mwamba amejibu pale juu... ni misimu 10 na siyo hizo range wanazoweka wadau. Yaani tunacount 2009/2010, 2010/2011, ... na siyo 2009, 2010, ...
Sent using Jamii Forums mobile app
mwaka wa ligi niu ule unatoa bingwa