Arsenal wanasemaje kwenye hili?Kwenye makombe tumejitahidi kwa wastani kila mwaka tumenyanyua kwapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Arsenal wanasemaje kwenye hili?Kwenye makombe tumejitahidi kwa wastani kila mwaka tumenyanyua kwapa.
Sent using Jamii Forums mobile app
Nakumbuka kipindi liver anapata matokeo ya namna hii mliwaita wazee wa kukamia sasa na sisi tukiwaita hivyo tutakuwa tunakosea kweli?
Hatuna striker ya kuaminikaUsajili wa striker haukwepeki kama kweli tunataka tumfunge bayern UEFA.
Sent using Jamii Forums mobile app
Dawa yao ni kuwaita wazee wa kukamiaKama kawaida yenu. Mnakaza kwa wakubwa, mnaenda kugawana na watoto. "United Syndrome"..
Sent using Jamii Forums mobile app